acha uongo!juzi hukuona kwenye tv maandamano makubwa kumzika upya cardinal rugambwa bukoba?
kumbe mabogazi wengi
acha uongo!juzi hukuona kwenye tv maandamano makubwa kumzika upya cardinal rugambwa bukoba?
we huwajui hawa.ukiwaruhusu leo na kesho wataandamana kupinga Pengo kuwa kardinali!
Wakristu hawawezi kuandamana kwa sababu hawajiongozi wenyewe. Ili waandamane inabidi amri au agizo litoke Vatican au Buckinham Palace. Waislamu wanajiongoza wenyewe, na maandamano yao hayaanzii makka wala brazili, isipokuwa yanaanzia wanapoishi waislamu wahusika.
Its called "decentralised" religion with full autonomy. Ndiyo muislamu yoyote anaweza kuhubiri neno la Mungu kama akitaka na akawa sheikh. Mkristo inabidi kwanza awe "ordained" na wazungu ndiyo aweze kuwa padri au mchungaji wa kiwango cha juu.
Maandamano ya Wakristo yapo tu wewe! Hujui wakatoliki huwa wanatembeza sanamu ya Bikira Maria?
Maandamano ya wakristo ni ya sherehe; lakini maandamano ya waislamu ni ya shari!
Panua mawanda ya uelewa wako dogo ili unapoonge uaminike! Swala la kibali toka vatican ni case study ya dhehebu tu na sio wakristo wote.Elewa idadi ya wakristo wa protestant na madhehebu mengine ni mengi mno, ila tu wote hufuata Sauti ya Mkuu wao Yesu Kristo wa Nazareth! Yeye ndiye Chieft Commander. Umenisoma mkuu!
elimu ndugu yangu , wanang'ang'ania elim ahera wanasahau kwamba vigezo vya ajira haviangalii hizo juzuu zao.......
Kazi ipo Tanzania Rais anayekuja atajuta.
Waache, wanadhani jeshi linatania, ngoja tuone muvi la kihindi kesho. Wacha nilipie modemu yangu ya Zantel, kesho full time mbele ya kibodi