Maandamano ya waislamu yazuiwa

Badala ya kuandamana vitu vya msingi kama Afya, Umeme na Maji wao wapo na kina Ponda wavunjifu wa Amani. Kwani hawaoni kama hali ni swari sasa?
 
Toka nizakiwe mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu. Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani hapo?

Wakristu hawawezi kuandamana kwa sababu hawajiongozi wenyewe. Ili waandamane inabidi amri au agizo litoke Vatican au Buckinham Palace. Waislamu wanajiongoza wenyewe, na maandamano yao hayaanzii makka wala brazili, isipokuwa yanaanzia wanapoishi waislamu wahusika.
Its called "decentralised" religion with full autonomy. Ndiyo muislamu yoyote anaweza kuhubiri neno la Mungu kama akitaka na akawa sheikh. Mkristo inabidi kwanza awe "ordained" na wazungu ndiyo aweze kuwa padri au mchungaji wa kiwango cha juu.
 
Nasikia wanataka kuandamana kupinga kuzuiwa kuandamana

Bado liko palepale "wakamatwe kwa kuandamana kwa kupinga kuzuiwa kuandamana" wendawazimu sana hawa! Hakika kama ningekuwa na mamlaka juu yao ningepotezea wote baharini.
 
Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu

waandamane ili wachome makanisa na kuharibu mali z watu..hapo hapan mkuu..hivi ukiandamana lazima uhalibu mali za watu
 
Haya nenda kaandamane upewe ulinzi!
 
Ingawa siwaungi mkono hawa BOKO HARAM lakini kazi ya Jeshi la Polisi sio kuzuia maandamano ni kulinda maandamano. Polisi hawana ruhusu ya kutoa kibali cha maandamano.

Polisi imalisheni ULINZI waacheni waandamane hao WAISLAMU.
 
Look hereunder....this is how Christians (on this case Roman Catholics) demonstrates

10.JPG
Msafara wa Mazishi ya Mhashama Kaldinari Laurean Rugambwa
yaliyofanyika Tarehe 7 Novemba, 2012 mjini Bukoba

Hapo kwenye red napata tabu kidogo
 
Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu
umeongea point lakini hii haiwezi kutokea tanzania
 
Safi sana Afande Kova unafanya kazi kwa weledi! nakupigia debe uwe Full kamishna.
huyu kova angekuwa mwanasiasa tungesema kova oyeee! lakni kwa kuwa sio tunasema tu ahongere.HIVI KWA SASA HUYU JAMAA NI KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI EE! Ok sahihi sana!
 
-Haki za watu haziwezi kuzimwa kwa vitisho.

Kwa kufanya hivi jeshi linazidi kuchochea machafuko

-Waumini wa Kiislamu wana haki ya kuandamana ingawa siungi mkono kuharibu mali

-Sheikh Ponda ana haki ya dhamana
 
Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu
Are domostrators rational!inanishangaza sana tabia ya watu kuwafanya polisi kama mashine na sio binadamu pengine kaka zetu na dada zetu au hata wake zetu na waume zetu.
 
na kupeleka maiti kanisani apate kufufuliwa ni akili ya mtu au zombi kwi kwi kwikwikwi wenye elimu mnachekesha kwelikweli
nakuhakikishia pika ubwabwa masahani dondosha pembeni ya barabara toka maandamano yanapoanzia mpaka yatakapoishia kweli hafiki mtu mwosho wataishia kubwia maubwabwa tututu kwikwiwkiwkwiwkwwiwk
 
Kova hawezi kupanda cheo zaidi ya hapo alipo.Uwezo wake mdogo mno kwanza najiuliza hapo kafika fikaje

Anapenda publicity sana! Kila mara anawaita journalists kuwaeleza mafanikio ya kuwakamata wahalifu! Alipokuwa Mbeya ilikuwa karibu kila siku wamsikia, akapanda cheo! Usije shangaa akamrithi Mwema.
 
waandamane ili wachome makanisa na kuharibu mali z watu..hapo hapan mkuu..hivi ukiandamana lazima uhalibu mali za watu

Kuandamana ni haki yao ya Msingi mkuu ndo maana nikasema wawekewe ulinzi mzito ili wasipate fursa ya kufanya vurugu za aina yoyote ile ikiwemo kuchoma makanisa
 
Back
Top Bottom