Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

UKUTA walijiandaa sana mitandaoni. Nishasema, sisi ni cowards kuliko nchi nyingi duniani. Cowards hajawahi kufanikiwa, huo ukuta ulikuwa unamjaribu mkulu, yeye alisema hajaribiwi...

Kuna mtu alinitumia picha ya Prof. J sijui kutoka Instagram huko ikiwa captioned let's get ready to rumble:D.
 
UKUTA walijiandaa sana mitandaoni. Nishasema, sisi ni cowards kuliko nchi nyingi duniani. Cowards hajawahi kufanikiwa, huo ukuta ulikuwa unamjaribu mkulu, yeye alisema hajaribiwi...

Watamkumbuka Kikwete. Lowassa anawashauri chadema vizuri, kiCCM. Ama kweli chadema ni CCM, wamefyata mkia kwa chama mama.

Hivi walishatangaza kumtambua Rais JPM?
 
Movement ya UKUTA imefanikiwa 100% kwani serikali nzima imesitisha shughuli zake zote na kuelekeza nguvu, akili na pesa kuutangaza UKUTA bila wenyewe kujua.
 
Binafsi nilijua CHADEMA hawataandamana, niliona tu dalili.

A huge Disappointment.
 
Movement ya UKUTA imefanikiwa 100% kwani serikali nzima imesitisha shughuli zake zote na kuelekeza nguvu, akili na pesa kuutangaza UKUTA bila wenyewe kujua.

Kwahiyo lengo lenu ni kusimamisha serikali kufanya kazi na si kupinga huo udikteta mnaoulalamikia......
 
Is there more to it than meets the eye?

Yes sir; ni suala la mikakati. Kuna vitu ambavyo unaweza kuamua kupambana na vitu vingine unafikiria upambane navyo vipi. Kosa kubwa ni kudhani hizi ni zama za JK kwa hiyo mbinu zile zile zinaweza kuwa na matokeo yale yale - kumdhoofisha Rais. Ningekuwa bado nawaamini hawa ndugu zetu ningekuwa na maoni tofauti kabisa ya jinsi ya kupambana na kile ambacho wao wanakidhania kipo.
 
Indeed, there is a new sheriff in town.
 
... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya

Swissyou
Good hayo ndyo maneno
 
Back
Top Bottom