Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
- Thread starter
- #241
Kashinda kwa kishindo....
Magu 1, UKUTA 0.
Kashinda kwa kishindo....
Kuna nafuu yyt ktk maisha ya kawaida ya MTZ?Kapunguza mafisadi,mapato Ya kodi yameongezeka,kafanikisha dili la mradi wa bomba la mafuta kupitia tanga,na ameonyesha nia Ya kupambana na rushwa.
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Hebu cheki huko kwingine jinsi watu wasivyowaogopa polisi.
Mtu zinaingia kitaa kuzipiga na polisi.
Watanzania tunayaweza haya?
Mikoani HAKUKUWA na maandalizi yyt yaleSie wengine tulijua CHADEMA wanaleta swaga tu.
Ameonyesha anaweza kupambana na rushwa,corruption is my worse enenmy,Miezi kumi siyo kitu bado yupo mpaka 2020 time is the master kuwa mvumilivu na weka siasa pembeni.So far kaifanyia nn Tanzania Rais Magufuli kwa miezi 10 aliyo kaa madarakani?
Maandalizi yalikuwa mitandaoni tu.Mikoani HAKUKUWA na maandalizi yyt yale
CHADEMA wazushi tu
HAKUKUWA na maandalizi yyt ya maandamano Kyela
Mbowe uamuzi wake wa hovyo kumuondoa Dr Slaa kumeiua CHADEMA
Read between the lines ndugu. Hilo neno hapo limetumika kama tashtiti.... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya
Swissyou
Na ameshafanikiwa...CHADEMA walibaki peke yao kidogo..sasa na wao wamekubali Ku surrender kijinga kabisa
swala sio kuwatisha bali kuwaonya, ni uwezo pia wa kuongoza watuKama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
UPDATE:
Raundi 1.
Magufuli 1, UKUTA 0.
We mungu unamjua?ulishawahi kumuona wapi?neno ass linaonyesha akili ilivyo.... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya
Swissyou
Sijamalizia kusoma utumbo wako, ila katiba ya nchi yeyote hairuhusu kufanya maandamano yasiyo na kikomo. Hasa maandamano ya kutaka kupindua nchi. Hata USA waliwahi kutaka kuandamana kumtoa Obama, ila wewe uliona walichofanywa hao waandamanaji, walipigwa sana. Same hata kwa Tz lazima mgepigwa sana maana katiba hairuhusu.
HakikaCHADEMA wakirudi nyuma tu, basi harakati zao zote huko mbeleni zitaonekana kama kelele za chura.
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
UPDATE:
Raundi 1.
Magufuli 1, UKUTA 0.
Una maana Lowasa ni kilainishi.Pongezi zimfikie Lowasa,anazidi kuilainisha Chadema
Hebu cheki huko kwingine jinsi watu wasivyowaogopa polisi.
Mtu zinaingia kitaa kuzipiga na polisi.
Watanzania tunayaweza haya?