Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
hili si kweli....Wananchi wa wepi hao.? waliopandishiwa bei ya sukari kwa kukurupuka?Wananchi walalahoi wanamuelewa anko Magu hatari.
hili si kweli....Wananchi wa wepi hao.? waliopandishiwa bei ya sukari kwa kukurupuka?Wananchi walalahoi wanamuelewa anko Magu hatari.
hili si kweli....Wananchi wa wepi hao.? waliopandishiwa bei ya sukari kwa kukurupuka?
Kama wewe siyo nabii basi ni Mbowe, ulijuwaje UKUTA hadi October?...sasa hivi maandamano ya polisi yatakuwa kimya kimya, siyo yale ya hadharani tena.Hawa CHADEMA wanapenda sana kulisumbua jeshi la polisi na serikali kiujumla. Wamepiga ngoma na kuilazimisha serikali iicheze hiyo ngoma na kweli imecheza.
Najiuliza tu hivi ikitokea wakaahirisha maandamano yao hiyo September mosi hadi October, je polisi wataendelea kufanya hayo mazoezi ya kuzuia?
Na je ikifika October pia wakasema wanaahirisha hadi November, je pia maigizo yataendelea??![]()
Ni wazi CHADEMA wameamua kuichezea akili dola na serikali, hawa CHADEMA they're very creative.
Nilishagalisema hilo zamani sana humu.CCM itatawala milele,if you cant fight them,join them.Anguko kubwa kwa CHADEMA
hao wanywa viroba ni wa Kenya?Ulivyo na hila
Eti Magu 1 na Ukuta 0
weka
Watanzania 10
Wanywa viroba 0
Hawana utaifahao wanywa viroba ni wa Kenya?
au wa Zaire...
Tena chaliiiiiiiiiUKUTA nyang'anyang'a, ......ndembendembe,....mlalo wa Mende kifo cha Mende CHAAAALIIIII
Mleta Uzi nafikiri utakuwa na vimelea vya utabiri tumia kipawa chako vizuri, na Nina mpango wakuja kuwa nakuomba unisaidie kubet mechi
Kumbe ulijua hakuna maandamano!Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
UPDATE:
Raundi 1.
Magufuli 1, UKUTA 0.
Ndugu yangu inaelekea haujamuelewa. Wewe na yeye mnaongelea kitu kimoja; hajamtukuza amemkebehi tu.... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya
Swissyou
NI UJINGA KUANZISHA MOVEMENT AMBAYO HUTOIMALIZA.... CHADEMA TOKA MWANZO WALISHAJUA POLISI HAITARUHUSU HUO UPUUZI WAO LAKINI WAKAANZISHA.
NILIFIKIRI WAMEJIANDAA KWA LOLOTE KUMBE NI MBWEMBWE TU.
JPM WANYOOSHE HAO.
hili si kweli....Wananchi wa wepi hao.? waliopandishiwa bei ya sukari kwa kukurupuka?