Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Usiyemkubali ni wewe na Magwanda wenzako. Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake, kwani mpaka sasa ameshawapita wote waliomtangulia kwa maendeleo ya kutolewa mfano.
Dada mambo ya dini yahasiana na nini na utendaji wa Kikwete? sidhani kama udini utatufikisha popote sana sana vizazi vyetu vitaangamia kwa sumu za aina yako unazoziweka hapa.
 
Usiyemkubali ni wewe na Magwanda wenzako. Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake, kwani mpaka sasa ameshawapita wote waliomtangulia kwa maendeleo ya kutolewa mfano.

Kuna member aliomba details za FaizaFoxy. Mwenye uwezo wa kutupatia labda angeturahisishia kazi..!! Au kwa wale wenye uwezo wa kupata IP adress yake / zake anazotumia ingekuwa vema sana pia.
 

Huyu binti ni balaa... anawachana chana magamba live!....
Rockefeller
‎@Thakur I have the best of Tanzania in my heart. I met good people in Tanzania, and my family has given more than $5million to the needy in Tanznaia in the past 4 years, so you cna reserve that statement yo yourself. So what part are you playing, are you paying taxes?Lisa M Rockefeller Thakur, I am sympathetic. Tanzania is not poor, it is one of the richest in the continent, the only problem you people have, is leadership. People like Kikwete are the one making your country look so poor in the eyes of the world.That is why i feel sorry for you for electing this guy in the first place, and if you were born in Tanznaia and see your future there, think before you vote28 minutes ago

Lisa M Rockefeller i sat with Kikwete when he took office in 2005, he came to DC, and narrated to him my expirience in Mbeya, asked him if he was going to do something. He gave me his personal contacts, I came to Tanznaia, before I went to mbeya he sent people to clean the hospital I was to visit, years later, the hospital was in terrible situation than before, and here after we donated $500,000.He does not deserve another term in the office, he needs to go.
 
Lisa M Rockefeller The So Called Ernesto Sheka's real name is January Makamba, is the one apparently threatening me. Let's see if he will ever set his feet in the American soil, this is nothing but an act of terrorism, I agree now, Kikwete is a Joke to hire people like these
 
Kuna member aliomba details za FaizaFoxy. Mwenye uwezo wa kutupatia labda angeturahisishia kazi..!! Au kwa wale wenye uwezo wa kupata IP adress yake / zake anazotumia ingekuwa vema sana pia.
Mimi nina picha ya nyumba yao duni kabisa kuliko zote pale mtaa wa kariakoo inaangaliana na redio uhuru, kama mnahitaji naweza kuiupload hapa.
 
Kuna member aliomba details za FaizaFoxy. Mwenye uwezo wa kutupatia labda angeturahisishia kazi..!! Au kwa wale wenye uwezo wa kupata IP adress yake / zake anazotumia ingekuwa vema sana pia.

FaizaFoxy ni msaidizi wa JK. Anafanya kazi na Salva. Yupo tayari kufa kwa ajili ya JK. Huyu mama ni jeuri kweli, alafu lina dharau sijui kwa sababu ya lile libwana la Symbion? Watu bwana. Sasa mbona madhambi yake tunayo kibao? Au anadhania tunaingilia uharakati kichwa kichwa. Mimi ni mwana UVCCM kwa hiyo siri za hawa watu nazifahamu. Faiza Foxy nimefanya naye kazi sana, alafu ndiye anayetegemewa na JK kwenye mambo mengi
 
FaizaFoxy ni msaidizi wa JK. Anafanya kazi na Salva. Yupo tayari kufa kwa ajili ya JK. Huyu mama ni jeuri kweli, alafu lina dharau sijui kwa sababu ya lile libwana la Symbion? Watu bwana. Sasa mbona madhambi yake tunayo kibao? Au anadhania tunaingilia uharakati kichwa kichwa. Mimi ni mwana UVCCM kwa hiyo siri za hawa watu nazifahamu. Faiza Foxy nimefanya naye kazi sana, alafu ndiye anayetegemewa na JK kwenye mambo mengi
Naomba pamoja kwamba JK ameprove failure kwenye ledership, lakini ni matusi kusema anamtegemea mtu bogus kama Faiza Foxy, this is too far.
 
FaizaFoxy said:
  • Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam.................
  • Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake..................
FaizaFoxy, hayo ni baadhi ya maneno ambayo umekuwa ukiyatamka kwa nyakati fotauti ukijibu hoja za wachangiaji mbambali humu, si mara moja ama mbili lakini kila wakati unapoona ni mwafaka kutetea au kupinga hoja mbali mbali. Kwanza nakiri kabisa mimi si Muislaam na pili nimejitahidi sana kukaa mbali na hoja zinazohusu dini ndani ya JF kwa sababu hadi dakika hii naamini tatizo kubwa linalotukabili Watanzania kwa sasa si udini ila udini unavyotaka kutumiwa na baadhi ya watu kama kisingizio cha mapungufu yetu kama taifa.

Kama kuna wakati upinzani ulikuwa na haki ya kulalamikia namna sheria za uchaguzi hazikusimamiwa kwa haki ni mwaka 2005 Kikwete alipoingia madarakani. Baadhi ya Wakristo ambao hivi leo FaizaFoxy unawalalamikia kwa kumchukia Kikwete kwa udini wake walikuwa mstari wa mbele kumpigia kampeni wakidai ni Chaguo la Mungu, sijui kama hata hilo unalikumbuka ! Kwa sababu hiyo na zingine ambazo sitazitaja kwa sasa, Kikwete aliweza kuchaguliwa kuwa Raisi wa nne wa Tanzania kwa asilimia 80% ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura.

Pamoja na hayo, ukweli ni kuwa kwa sasa taifa linakabiliwa na matatizo makubwa ambayo yamesababishwa na mfumo ambao umeshindwa kusimamia haki na usawa na hivyo kutoa nafasi kwa watu wasiotutakia mema kuiweka nchi yetu rehani. Bahati mbaya vyombo vilivyopewa mamlaka ya kusimamia utawala bora ni kama vile vimeenda likizo na hivyo mafisadi kuota kama uyoga miongoni mwetu. Sidhani kuna Mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye anaweza kujitokeza hadharani na kukana kuwa hamna tatizo la kiutendaji serikalini.

Sasa unapojitokeza FaizaFoxy na kuwabeza Watanzania wanaolalamikia utawala ambao kwa vyovyote vile umeonesha udhaifu mkubwa kwamba Kikwete analaumiwa kwa kuwa ni Muslaam tukueleweje ? Je unatuambia kwamba ni kwa sababu ni Muislaam ndiyo maana hatuna umeme ? Ndio maana hatuna mafuta ? Ndio maana wezi tunapishana nao mitaani na kadhalika. Huoni kwamba kwa kufanya hivi unaidhalilisha dini ya Uislaam kwa kuihusisha na udhaifu wa uongozi unaosababbisha serikali ionekane ovyo mbele ya wananchi wake ?

Ningekuwa wewe FaizaFoxy,

  • Haraka ningewaomba radhi Waislaam kwani kwa kudai ufisadi wa Kikwete na utendaji wake usiokubalika ni kwa kuwa yeye ni Muislaam, umeudhalilisha Uislaam.
  • Ningewaomba radhi Watanzania kwa kujaribu kupotosha ukweli kuhusu hali halisi inayowakabili na kujaribu kutetea uozo serikalini kwa kisingizio cha dini.
  • Ningewaomba radhi wasomaji wa JF popote pale walipo kwa kushusha hadhi ya jukwaa na kujaribu kuchochea mifarakano ya kidini.
 
hili ni jambo zuri sana wadau, bora aanze kupata aibu maana ameshindwa kabisa kuongoza nchi kwa kujali uswahiba zaidi kuliko maslahi ya watanzania walio na maisha mabovu sana nadani ya nchi yao na kuachia baadhi ya watu kuhodhi uchumi kwa kuiba mali za watanzania na kujilimbikizia
 
Lisa M Rockefeller
Tanzania Revolutionaries have requested me to address them on their big day against tyranny. Unfortunately, schedule will not allow me, however, I am making arrangements for an equal mind to give them the necessary support. They have my 100% backing and prayer until heir country is liberated
 
Naomba pamoja kwamba JK ameprove failure kwenye ledership, lakini ni matusi kusema anamtegemea mtu bogus kama Faiza Foxy, this is too far.

Hapana mkuu !! Kuna ule useme watu wanatumia wakisema " Ukitembea na mwizi nawe pia mwizi " Kwa maana hiyo kama Faiza Foxy ni Bogus basi na pale alipo bila shaka ni pabogus.
 

Lisa M Rockefeller

Tanzania Revolutionaries have requested me to address them on their big day against tyranny. Unfortunately, schedule will not allow me, however, I am making arrangements for an equal mind to give them the necessary support. They have my 100% backing and prayer until heir country is liberated
 
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?


Mwanzoni nilidhani wanakushambulia tu bila sababu kumbe uko mweupe kiasi hicho, du! leo ndo nimeshangaa kukuona ukiwa na ubongo umtupu!!

Yaani dada yangu, pamoja na kilemba chako kizuri hivyo mawazo yako ni kwamba shule au elimu ni ongezeko la majengo na idadi ya mauniversity, afya ni kuhesabu idadi ya kliniki, barabara za lami za life span ya mwaka mmoja na pesa za kukarabati hazipo zikibomoka basi, kilimo sijui hapo niseme nini maana hapa ndo umeufunua ujinga wako hata taarifa tu ya hivi karibuni ya serikali ya magamba yako ya mikoa 16 na wilaya 56 kuwa na njaa hauna, du!! ama kweli magamba ni hatari hadi kuharibu bongo za watu kabisa ni kuvuruga kwa kwenda mbele. Hata maana ya Demokrasia haujui dada yangu, haya nakutuma sasa nenda tena sasa hivi ukasome kamusi vinginevyo utachapwa fimbo ukutoke ujinga kichwani ili usiwe unatupotezea mda wa kukufundisha a, e, i, o, u. Lakini si kosa lako ndio upana wa fikira walizo nazo magamba yenu sasa wewe utawezaje kuwaza zaidi yao, haiwezekani.
 
Maandamo yatapokelewa na STATE DEPARTMENT.
Teh teh teh teh!!
 
Kila la heri waungwana msihau kupeka ujumbe UN juu ya yanayofanyika humu nchni. Pigeni msumali bila woga Mungu awape afya njema na nguvu tele.

Yule mganga wa kutishia watu majini alikwenda siku nyingi, sijui ndugu yangu sasa atatishia watu na nini?
 
Kwa nini Lisa Rockefeller anaitwa dada kipenzi cha Watanzania? Ni nani huyu dada? Anahusiana na Senator Rockefeller?
Is it not illegal kuandamana DC kumpinga JK? Hata kama kuna ufisadi Tanzania,Tanzania siyo Libya,siyo Syria,why should there be so much concern in the diaspora? Halafu ninyi ni Tanzanian citizens hata kama mko US. Ubalozi wetu huko una maoni gani?
Unasema unataka JK aondoke. Lakini JK ataondoka baada ya kumaliza muda wake. Does it mean you want him to leave sooner?
Kuhusu mafisadi,Nae ameshasma CCM inafanya jitihada kubwa kuwaondoa. Walipewa siku 90 kuondoka,mmoja tu aliondoka ,bado wawili. Nape amewapa siku 30 or so zaidi ili nao pia wajiondoe.
Tatizo la watu wanapokuwa katika diaspora they feel that they can influence the mother country,kwa sababu wako out of reach,and they can speak without fear. But this feeling is quite unfounded. Juhudi zenu za kumuaibisha JK zitakuwa ludicruos. To have any influence in this country,you have to be present,it is only your gravity presence,your physical presence in Tanzania that can enable you to influence events here.
Mimi pia nipo katika CCM. Kuna coordination gani kati ya mambo wanayotaka kufanya watu katika diaspora na watu ambao wako nyumbani?
Naomba kuwa informed about what is happenning.
+718 536 281
nyerereburito@yahoo.com


 
Hatujamjachagua rahis kufanya upuuzi.kuleta maendeleo ni jukumu lake ,maandamo ya nin km amayefanya.ila atujamchagua kuleta ufisadi,umaskin na damu kumwagika.najua uelewi tu ila unajua sana.pole.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom