Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Watu tunataka MAENDELEO sio MAANDAMANO!
Inaelekea Chadema wanachanganya maneno haya! Wao wanachoweza ku-offer ni maandamano tu!

Halafu nyie huko U.S mmekimbia nchi yenu kunufaisaha mataifa ya nje, sasa munajifanya muna uchungu ni nchi hii?
Kwanza wengi wenu mmeenda kwa hela za ufisadi wa wazazi wenu!
 
<br />
<br />
Huu ndo ukweli wa ukweli!
 
NA VILE VILE JENGO LA MAHAKAMA YA RUFAA LIMEUZWA YEYE HAFAHAMU............. In short Faiza Foksi alikuwa anabusara sana, ukicheki posti zake za siku za nyuma zilikuwa na busara sana........LAKINI ANAKOELEKEA SASA NI MIREMBE
 
Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?
Hayo matawi siyo ishu, kuna wengi tusiopenda magamba, pia kunawasio na vyama kabisa ila wana mapenzi na nchi yao kwahiyo hilo lisikutishe.
 
shukuruni watanzania ni wapole sana na ndo maana j k na rafiki zake wanagawana nchi kimya kimya tu. Wewe imegine wazungu wanapewa ekari 800000. Je watanzania hawazai tena? Hawaongezeki tena?

Huu ujinga utaupata tanzania peke yake na c kwingine.

Wewe ulitaka ukanyimwa? hao wazunu wataibeba hiyo ardhi waende nayo kwao?

Halafu hao hao wazungu unaowasema kwa kupewa ardhi waiendeleze haohao ndi unataka kwenda kufanya maandamano kwao, haohao ndio unategemea wanunue mazao yako, haohao ndio unawategeme wakuletee madawa kwa wagonjwa wako, haohao ndio wanaokusomesha huko Merekani, haohao ndio unakwenda kwashtaki kwao wenyewe kwa maandamano? Una akili kweli hapo? au unaenda kumshtaki Kikwete kwa dini yake? Fikiria.
 
Naomba hiyo kwenye nyekundu tuwekee list ya mnaopanga hayo maandamano.

jk anafanya kazi kwa bidii kwa faida ya familia yake. bidii ipi hiyo mbona watu hawaizioni? kila kitu mimi natumia pesa yangu kununua kuanzia dawa, elimu, huduma zote sasa hizo bidii ni zipi?
Unazungumzia shule za kata?
Nipe rist ya wakurugezi wa mashirika ya uma pamoja na mawaziri ambao watoto wao wanasoma shule za kata
 

mawazo ya omba-omba kama mjomba wako jk. no creativity, no innovation...all you think with your uncle is pleasing wazungu so that you continue begging.

ukweli hakuna la maana mjomba wako kafanya na kama utaendelea kumtetea utaniponza nipigwe ban.
 
Halafu nyie huko U.S mmekimbia nchi yenu kunufaisaha mataifa ya nje, sasa munajifanya muna uchungu ni nchi hii?
Kwanza wengi wenu mmeenda kwa hela za ufisadi wa wazazi wenu!

Are you sure of your ranting bigot insane arachnida kinda thinking?
 
Naomba hiyo kwenye nyekundu tuwekee list ya mnaopanga hayo maandamano.
Na wewe tupe list ya mnaopinga hayo maandano? kwanza by the way wewe umezaliwa kariakoo na utafia kariakoo, Marekani utaisikia tu redioni, halafu pale nyumbani kwenu ile nyumba inayoangaliana na redio uhuru ndio nyumba duni kuliko zote pale mtaa wa kariakoo na ninawaahidi wana JF wote leo nitaupload image ya kibanda unachoishi ili watu washangae zaidi mtu unaekaa kwenye makazi duni kama wewe ushujaa huu wa kutetea ujinga unautoa wapi?

Hivi wewe ungekuwa unaishi Masaki angalau kwenye nyumba ya ghorfa moja si ingekuwa tabu hapa mjini? ila leo ndio nitakuonesha JF sio sehemu ya kuja kupiga vuvuzela, niitaupload nyumba yenu na nitaupload picha ya nyumba ambayo binadamu anastahili kuishi.
 
Tuna BUNGE la hovyo ambalo kwa KATIBA ya sasa ndilo linalounda SERIKALI. Waziri ni lazima awe MBUNGE na RAIS ni sehemu ya Bunge! Ile kazi ya kuisimamia serikali inakuwa ngumu kwelikweli. JK yeye azunguke dunia. Bahati hizi haziji mara mbili ati! Si uliona Wabunge wetu waligomea bajeti za Nishati na uchukuzi lakini ya ELIMU inayogusa WATANZANIA wote ikapita? Mashule hayana madarasa, walimu, vitabu, madawati, vyoo, vifaa vya kufundishia, maabara,.......Watoto wa masikini wa Tanzania wanamaliza darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika! Tanzania ina miujiza mingi tu.
 

dini inaingia vipi hapa? Ho wawekezaji wanao pigwa vita wote ni wakristo na ndo wanyanyasaji kupita kiasi. Hapa hatuangalii dini tunaangalia tanzania yetu.

Jk yeye anajua anauwezo wa kuishi nchi yoyote hapa duniani. Ok sasa vipi kwa sisi wabongo wa kawaida?

Hata hayo matatizo ya mafuta yeye hayampi pain ya aina yoyote kwa sababu hamna hata day moja ameshindwa kusafiri kisha petrol.

Huo ufisadi wa kutorosha wanyama unamuumiza kweli?

Kwani ni kuulize hamna waisilamu wanao mpinga kikwete? Huko zenji anakubalika 100%?
Huku bara hamna waisilamu wano mpinga wazi wazi?
 

Ndugu yangu nimekaa sana DC kwa takriban miaka miwili na Watanzania wengi utawapata mitaa ya Silver spring. hakuna kitu cha namna hiyo ila ni propaganda tu.
 
JK alipingwa na Waislaam wa kweli wegi sana.

Mwinyi, umesahau kibao alichonaswa Diamond?
Hahaha! Jibu swali langu, Kwa nini JK analalamikiwa na kupingwa na baadhi ya waTZ?? Kama sababu ni dini yake Kipindi Mwinyi ni Rais mbona hakukuwa na maandamano na malalamiko ya kumpinga???
 
tunawaombeni kwanza uraia wenu, Tanzania hairuhusu Uraia wa nchi mbili. Barozi wetu ahakiki uraia huo kisha muingie mtaani kutupigania.
 
kama kwenda kufanya kazi Marekani ni kwenda kunufaisha mataifa ya nje basi mwambie JK awarudishe nyumbani Asha Rose Migiro na Mwanaidi Maajar. hawa ni kwa uchache tu orodha ni kubwa.
Nakushauri uamie jukwaa la jokes + utani kule ndio hadhi yako, hapa unapwaya mno si jukwaa la watu wenye akili Half glass empty.
 
Ndugu yangu nimekaa sana DC kwa takriban miaka miwili na Watanzania wengi utawapata mitaa ya Silver spring. hakuna kitu cha namna hiyo ila ni propaganda tu.
Do you know what first amendment is?
 
Tunaomba pia kadi za vyama vyenu isije kuwa mnapigania vyama vyenu badala ya taifa letu lakini ukweli unabaki palepale tunahitaji kushughulikia mapungufu kwa kadri ya faida ya taifa letu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…