Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
hivi Dr Slaa na Lisa Rockerfeller nani Kamanda? Naombeni jibu wana Magwanda
 
Tanzania has now become a labyrinth of all sufferings on earth because of this retarded and a big joke-president!!
 
Hata vyuo vikuu vimekuwa vya kata sasa
 
Mimi nina picha ya nyumba yao duni kabisa kuliko zote pale mtaa wa kariakoo inaangaliana na redio uhuru, kama mnahitaji naweza kuiupload hapa.

Unanchekesha, mi skyscraper yote ya Kariakoo huioni? njoo tu unakaribishwa, nini uanpenda weyee, mandi? swawarma? zanzibar mix? sekela? Vyote hivyo Kariakoo ndio vilipo, sasa sijui hata kama unavijua hivyo, wakuja wee! una kaa goba huko halafu unajidai uko Dar! Unanchekesha!
 

Hawana uwezo wakuni ajiri hao, saa hizi nakula bata kwa mrija tuu! Burdan wa Sharaba.
 
Ilikuwa ni chance ya Salim Ahmed Salim, Mkwereee akaja na mipasho na ngonjera za kuuza sura haya sasa! SAS angekuwa prez sasa hivi hii nchi ingekuwa mbali sana, lakini siasa za Chalinze na Msoga ndio hizi sasa. Nchi inaendeshwa kama kile kijiwe cha Saigon.
Baada ya 2015 mwambie akimbie nchi la sivo tutamtia mahakamani huku akiwa kwenye box kama Mubarak!
 
mie nahisi hayo maandamano yatapata wachangiaji wachache.....humu mtandaoni tunapeana moyo tu,kwanza na schedule za box zilivyo tight watu watapatawapi huo muda lol
 



Fox,

Sielewi ulikuwa unanijibu kitu gani hapo, kwa sababu sidhani kama jibu lako linaendenana na post yangu. Jitahidi kuwa unasoma vizuri post kabla hujazivamia. Usidhani kuwa wote tunaompinga Kikwete ni wabeba maboksi, kwa taarifa yako zaidi ni kuwa wanaomkumbatia Kikwete na CCM ndio wabeba maboksi zaidi kwa vile tuna ushahidi wa kutoka UK walikoibiana pesa za mgao. Vile vile katika hiyo list uliyoweka je una uhakika kuwa hakuna waganga njaa hapo hata kama siyo wabeba maboksi? Mimi nawajua wote kwa vile hata mimi pia ni mwanachama wa hiyo DICOTA, na nina uhakika kuwa waliopendekeza kumleta Kikwete ni waganga njaa sana ndani ya DICOTA.
 

Alikuwa ni "chaguo la Mungu" au umesahau?
 
mie nahisi hayo maandamano yatapata wachangiaji wachache.....humu mtandaoni tunapeana moyo tu,kwanza na schedule za box zilivyo tight watu watapatawapi huo muda lol
wewe husiandikia mate msisitize kikwete aende marekani fanya hiyo kazi
kisha subilia jibu la wasiwasi wako.

bora kuhacha box siku moja au ku swap shift lakini huyu mporaji na genge lake wapate kuumbuka
na mimi ninakuambia viongozi wetu wamejaa dharau kama unavyoongea lakini watu wamechoka i mean it
 


Kwani wewe hugangi njaa? hayo ya UK kama kuna mwizi nna imani kubwa sana na Scotland Yard watafanya kazi yao na ukweli utajulikana na kama kuna mwizi atachukuliwa hatua. Hayo wala sio issie mbona hata hapa nyumbani tumeona magwanda wakiibia serikali kodi zao kwa miaka na juzi wamekamatwa na wapigwa faini na wametakiwa waache wizi wa kodi. unafikiri fedha ya kodi ni ya nani? ya hao wanaofanya maandamano Washington au yetu sisi tuliopo hapa nyumbani? wacha weweee.

Soma vizuri wewe post yako "Nilitegemea DICOTA wawe ni watu makini zaidi", ulipoyaandika hayo ndio nimekuwekea list kamili ya hao "watu makini zaidi" na nikakujuza kuwa hamna mbeba maboksi hapo. Jee, hukuyapenda? Unanchekesha!
 
Wiliam Malecela amesema schedule ikiruhusu atatia timu
 
 
Faiza Fox wewe ni kama dada kwangu, lakini kwa hili Mkweree wako tunae tu najua deep down sometimes unaona hata aibu kumbeba na mbeleko inakuwa nzito, lakini kama kampuni yake ya MEREMETA MKWEREE ATAMEREMETA MaHAKAMANI 2016 AKIWA NDANI YA BOX kama Mubarak
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…