Na hawa DICOTA for the sake of your reputation, please think twice about inviting this joker (JK).
Dada Faiza mwambie aacha kusafiri kwenda nje kila kukicha, instead aende mikoani kuona wananchi wake hata akienda huko mara 1,000,000
Pinga kwa hoja na siyo kwa matusi,May be hawara yake ni mmojawapo wa hao wanaofikiria kutumia makalio, mbishi kama nini cjui???????
May be hawara yake ni mmojawapo wa hao wanaofikiria kutumia makalio, mbishi kama nini cjui???????
Even Africa was the first part on earth to have civilization. Todate Africa is the least developed of the underdeveloped places on earthTo be the first means nothing.It seems you are to pron to forgetting, you have just forgotten that Kikwete was the first President of Africa to be invited by Obama and you have also forgotten that before saying goodbye to the Americans, George Bush spent 4 good days in Tanzania, records for Kikwete in both cases. Ask yourself WHY?
Natamani ningekuepo kwenye haya maandamano ila basi tu!
Ha ha ha ha!! Dada Faiza leo umenichekesha sana. Tunangoja Dubai yetu ya Africa hapa Kigoma, so far haujaona hata greda la kuja kujenga hizo skyscrappers za Dubai tilizoahidiwa Kigoma. Meli yetu ya Lake tanganyika?Labda huelewi kuwa anachoendea huko ni kwa maslahi ya Taifa. Nyinyi bado mko dunia ya kizamani ya mtu kukaa ofisini na kusaini makaratasi. Kikwete ni mtendaji na mikoani tunamuona vile vile, unaweza kunambia mwezi huu tu alikuwa mikoa mingapi? hujui? uliza. unanchekesha.
Even Africa was the first part on earth to have civilization. Todate Africa is the least developed of the underdeveloped places on earthTo be the first means nothing.
Ford was the 1st automobile manufacturer. Where are they nowadays? Can u today compare Ford with BMW?
CTN was the 1st private tv station in Tanzania: where are they nowadays?
Regarding the visitation of US presidents in Tanzania, that doesn't surprise me at all. Any president can visit any country in this world at anytime. If Obama went to horrible places such as Afghanistan so what's the big deal for a US prez. to visit Tanzania?

Nipo kwenye daladala bahada ya kusoma habari hii nimejikuta nikipiga magoti nakuwaombea Mungu hawabariki mfanikishe wakombozi
Ha ha ha ha!! Dada Faiza leo umenichekesha sana. Tunangoja Dubai yetu ya Africa hapa Kigoma, so far haujaona hata greda la kuja kujenga hizo skyscrappers za Dubai tilizoahidiwa Kigoma. Meli yetu ya Lake tanganyika?
Even Africa was the first part on earth to have civilization. Todate Africa is the least developed of the underdeveloped places on earthTo be the first means nothing.
Ford was the 1st automobile manufacturer. Where are they nowadays? Can u today compare Ford with BMW?
CTN was the 1st private tv station in Tanzania: where are they nowadays?
Regarding the visitation of US presidents in Tanzania, that doesn't surprise me at all. Any president can visit any country in this world at anytime. If Obama went to horrible places such as Afghanistan so what's the big deal for a US prez. to visit Tanzania?
Lakini hawa jamaa wa DICOTA nao wanafikiria nini kuwaita viongozi wa serikali kuhudhuria kwenye mikutano yao? hawajui kuwa kila wakimleta kiongozi mmoja ni pesa nyingi sana za umma zinateketea? Kila mwaka wamekuwa wakiwaita viongozi wakubwa kama Membe na wakurugenzi kadhaa wa mawizara, je tija yake kwa taifa imekuwa ni ipi tangu wamefanya hivyo? Katika viongozi wote wa serikali, kwa nini waamue kumwita Kikwete ilhali udhaifu wake unajulikana? Nilitegemea DICOTA wawe ni watu makini zaidi kwa vile wengi wao ni watu wenye elimu ya juu sana, ila sijui labda hii ni katika kutafuta visibility. Unless Kikwete alikuwa na shughuli Nyingine hapo DC nao wakaamua kuunganisha mkutao nuo ndani ya shughuli zake, sioni umuhimu wa wao kumwita Kikwete kutoka dar kwenda DC kuhudhuria mkutano huo.
Tatizo ni kuwa hamjui tofauti ya Kigoma kabla ya Kikwete na wakati wa Kikwete. Muulize Kabwe atakujuza.
Tunawahimiza sana watanzania wote wanaoishi marekani kote kupinga kuwepo kwa kikwete Washington na hata serikalini mwetu. Kweli kikwete has to go kwa sababu moja tu, hakuchaguliwa na wananchi na amemaliza hili taifa kwa sasa. Huyu msomi wa gadaffi na mugabe atawaua wananchi wengi zaidi akiendelea kukaa kwenye hii ofisi yetu ya taifa. Angalia safari, uchumi, corruption, ufichaji siri na ubeberu na uongozi wa kizembe Tanzania. Utampata wapi mtu mzembe hivi na akapata madaraka ktk taifa...only africa can manipulate people around. Time has come!
Kifupi ni hiki, wananchi walio marekani msikubali kutumiwa na makarani hawa ccm dicota, tumesikia na bado tunapata data zaidi ya jinsi balozi wa Tanzania anavyofanya kazi na dicota kuleta ufisadi US. Mbaya zaidi na masikitiko makubwa ni watanzania waliojiingiza ndani ya dicota na kujipendekeza ndani ya communities za watanzania katika states zote watanzania wanaishi. Hakuna kitu dicota inafanya zaidi ya kuwa tawi la ccm marekani. Kazi ya ku-promote taifa kote duniani vyote vimetengewa bajeti na hao maofisa ndani ya hizi ofisi ni incompetent people waliopewa kazi hizo kwa kupitia network za ccm.
Wanakuja wangapi kwenye trips ya marekani .... mlio marekani tunaomba data...sitakosea kusema ubalozi wa marekani umepokea maombi ya visas 50...wanakwenda kufanya nini wakati serikali haina funds?
"poverty deepen in ccm bones"

Can u reflesh ur post? nashindwa kukuelewa ulikuwa unajaribu kusema nini!
Nimealikwa, na nitaandamanaHao walioko Merekani wanaojidai kuanzisha maandamano hawajaalikwa kwenye Dinner aliyoalikwa Kikwete, sasa huo ndio usongo wao wanataka wautolee kweye maandamano.
Halafu kuna mmoja kajidai kuna tajiri katoa mabasi (kwa watu wanaotaka kundamana) kumbe ukweli ni kwamba katoa mabasi watu wapate fursa ya kwenda kusherehekea DICOTA.