Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Faidha nafikiri wewe unaishi peponi, hayo mashule walimu wako wapi? hicho kilimo njaa inatoka wapi?

Yaani wewe unanshangaza kweli kweli, yaani mpaka leo huna habari kuwa shule za sekondari zilizojengwa wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko zote zolizojengwa na awamu zote ongezea na mkoloni? Hivi hujui kwa sasa tunavyuo vya waalim kuliko awamu zote?

Hivi, bila kuwa na shule waalim wangefundisha wapi? unaanza na shule halafu ndio unazalisha waalim, simpo lojik.

Kuhusu kilimo, yaani hujui kuwa Tanzania sasa hivi ina mazao mengi ikuliko Afrika mashariki yote? ama kweli bado uko mbali na dunia.
 
Safi sana mkuu, nina imani watazidi kujitokeza wengi zaidi.
 
<br />
<br />
unazungumzia hizo shule zisizokuwa na walimu na wanafunzi wanaokaa chini? Si umeona matunda yake katika matokeo ya kidato cha nne mwaka jana? Zaidi ya asilimia 75 wamepata division 0 na 4. Acha kuongea mashudu, yani pa1 na matokeo hayo bado mnajisifia kuwa mmejenga shule? Hizo sio shule mi huwa naziita incubator za kutotolea mayai. Bora zisingekuwepo 2jue 1.
 
Unafikiria kama wabunge wa Dsm... Makal... Meya kasema...
 
mkuu umenifurahisha sana bigup!
 
Wewe siyo mwenzetu! Tupishe great thinker! Wewe huoni nchi ilivyogizani ,mashimo yanazidi ongezeka walala hoi twazidi kuwa taabani,Naunga mkono hoja! Maandamano tunayabariki
 
Bora kutokuwa na shule kuliko kuwa na shule zinazozalisha wajinga
 
Hivi tanzania mna rais? I hope he is a tourist
 
FaizaFoxy, subiri tunalipua Identity yako. Au Tunakuja kuongea na Salva
 
FaizaFoxy, subiri tunalipua Identity yako. Au Tunakuja kuongea na Salva

Mwingereza achana na huyu mzushi, kaishiwa hana lolote...huwezi amini kwamba nchi hii na kwa nyakati hizi bado tuna mijitu ya namna hii.

My Opinio: Hizi taarifa zimfikie Lisa Rockerfellar am sure he will give a good lead katika hii issue pia (I mean atatoa mchango wake mkubwa either wa mawazo au kifedha).
All the best, huku sisi tupo kwenye maandalizi, soon yatakuja kwa kasi ya kimbunga.
 
mpe hongera mwano... lakini mwambie Rais haamki tu na kusema leo nakwenda marekani.. kesho nakwenda Uk... kesho kutwa s.africa...

Ni kweli marais wengine hawaamki tu na kupanga safari. Lakini kwa Rais Kikwete nakuhakikishia muda huu anafuturu na kumeza tonge la ugali hukuakitazama Ramani ya dunia kuona ni nchi gani ya kwenda kutembelea.
 
Lisa ni rafiki yangu kwenye facebook, namfikishia hili swala sasa hivi ili aweze kulink up na waandaaji wa maandamano haya. na najitolewa kuwaco ordinate hawa wapigania uhuru.
 
Good,we need people liku you all! Tupo pa1.
 
Ni kweli marais wengine hawaamki tu na kupanga safari. Lakini kwa Rais Kikwete nakuhakikishia muda huu anafuturu na kumeza tonge la ugali hukuakitazama Ramani ya dunia kuona ni nchi gani ya kwenda kutembelea.

Unaongea vitu gani wewe? huyu hizo safari zake umeona rais yupi wa design hii achilia Ulaya, hata hapa Africa tu hakuna......huyu kwa taarifa yako, anatuma maombi ya mialiko yeye mwenyewe na wapambe wake. Crap Crap Crap mpaka mwisho.
 
Faiza unaboa na takwimu zako zisizo na kichwa wala miguu. Usiongelee shule kabisa. Quality education inazidi kubakia ktk shule binafsi. Shule za serikali zinazidi kufia mbali....sitaki kuendelea maana inatia uchungu na taifa langu linazidi didimia. Unaboa sana na majigambo bubu!
 
Unaongea vitu gani wewe? huyu hizo safari zake umeona rais yupi wa design hii achilia Ulaya, hata hapa Africa tu hakuna......huyu kwa taarifa yako, anatuma maombi ya mialiko yeye mwenyewe na wapambe wake. Crap Crap Crap mpaka mwisho.
Unachoongea ni sahihi na nina wasiwasi wale matapeli waliojazana pale ikulu nao ni sehemu ya hili tatizo, maana inawezekana hawa huwa wanaaply event mbalimbali ulaya na marekani then invitation ikija wanamdanganya kwamba Rais amealikwa kumbe si kweli wao wanachoangalia ni posho zao za safari.
Mimi binafsi nimeshaaply event nyingi online na kuna nyingine nilighalamiwa mpaka tiketi ya ndege na pocket money. Hawa kina Salva ni watu wa kuwaangalia sana hawa.
 
Unaongea vitu gani wewe? huyu hizo safari zake umeona rais yupi wa design hii achilia Ulaya, hata hapa Africa tu hakuna......huyu kwa taarifa yako, anatuma maombi ya mialiko yeye mwenyewe na wapambe wake. Crap Crap Crap mpaka mwisho.

Mkuu hapo nimecheka sana hadi machozi yameisha....eti JK anajialika mwenyewe duuuuuuu!
 
Mkuu hapo nimecheka sana hadi machozi yameisha....eti JK anajialika mwenyewe duuuuuuu!
Kama huamini nikupe website kadhaa Marekani na Ulaya uchaguwe event unayotaka kuhudhuria kama haujaona wamekutumia mwaliko kwenye p.o.box yako na email yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…