Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,025
- 132,769
Mkuu Tuko, nimekupata na nimekuelewa!.kile ambacho CCM haihafanya for 50 years ni pamoja na kuzuia sauti za wananchi kutetea nchi yao kupitia bunge. CDM kuandamana kumpinga spika ina maana kuwa wanawasaidia watanzania wafaidi thamani ya mabilioni ya kodi zao zinazotumika kuendesha mhimili huu wa nchi.
Pili, CDM kuandamana kumpinga spika ni juhusi za kurescue fursa yao ya kutumia jukwaa la bunge kuwaeleza wananchi itafanya nini beyond 2015 ambacho CCM haijafanya kwa miaka 50. Kwa namna bunge linavyoendeshwa sasa CDM imepokonywa fursa ya kutumia jukwaa la bunge kujitangza.
Bw Pasco utakubaliana nami kuwa mic za bungeni zilisaidia sana kupaaza sauti kuhusu EPA, Richmond, BOT twin towers, Mramba+Yona+mgonja, mabilioni ya uswis, ngeleja+mhando+tanesco, twiga wa kia, mgao wa umeme na madudu mengi mengine.
Serikali ya CCM kupitia kwa Makinda na Ndugai wamezima mic za bunge kwa hiyo wananchi hatutapata tena nafasi ya kutetea nchi yetu kupitia bunge.
Je, Mr Pasco, tukae kimya?
P.