Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,793
- 815
kila la heri makamanda nawaunga mkono kupitia laptop yangu!
Haha hah duh hii kali aisee
kila la heri makamanda nawaunga mkono kupitia laptop yangu!
Tuko njiani kwa baadhi ya makamanda tunaenda kukutania tulipokubaliana
Tunabidi tufike hatua ya kukubali kuwa tupo under control ya western countries.........inawezekana narudia inawezekana hata hao wanaotuamasisha kuingia kwenye maandamano wanatumiwa na hao western countries.........tuangalie nchi kama libya na misri hazitwaliki licha ya wananchi kufikiri kufanya maandamano ya kuwatoa viongozi waliowaita madkteta itasaidia kuleta maisha bora zaidi lkn mwisho wanabaki kujilaumu........lakini hao western countries wanaendelea kula mafuta.....ni lazma 2fanye maamuzi sahihi kama watanzania.
Mbona hamna mabango?hapo hawajafikisha ujumbe bado mana inakuwa sawa na mtu anayetembea barabarani
Unaenda kuandamana nje ya mji alafu nayo unayaita maandamano? Uko Bweri mnaandamana kwa faida ya nani, nani atawasikia huko nje ya mji.
Kama ni huko endeleeni tu kuandamana maana hata polisi wataona wanapoteza mafuta bure kutoka mjini mpaka huko?
Maandamano yakupinga bunge la katiba. Yanaendelea muda huu musoma mjini . Kuwanzia kurumuri nipo mitaa ya chuo cha ustawi wa jamii buhare hapa wanainchi waliobeba mabango mbali mbali wapo barabarani wanaelekea ofisi ya mkuu wa mkoa mara..
lakini habari ndiyo hiyo wamesikia kama ulivyo sikia na kuona wewe!Unaenda kuandamana nje ya mji alafu nayo unayaita maandamano? Uko Bweri mnaandamana kwa faida ya nani, nani atawasikia huko nje ya mji.
Kama ni huko endeleeni tu kuandamana maana hata polisi wataona wanapoteza mafuta bure kutoka mjini mpaka huko?
Shida yako nini we mama kaa nyumbani upike! Haaaaa!
BACK TANGANYIKA
Maandamano yakupinga bunge la katiba. Yanaendelea muda huu musoma mjini . Kuwanzia kurumuri nipo mitaa ya chuo cha ustawi wa jamii buhare hapa wanainchi waliobeba mabango mbali mbali wapo barabarani wanaelekea ofisi ya mkuu wa mkoa mara..
porini ndiyo safi maana hakuna wanyama wakaliMaandamano gani hayo!!!munaandamana porini?
Musoma sio pwaniHao jamaa wanataka kuleta sheeedah