Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Nawaamini sana watu wa Musoma kwa kuchukua hatua hongereni sana… picha za matukio ni muhim
 
musoma leo hamna cha maandamano wala bibi yake Slaa.CHADEMA uwongo ni dhambi tuwe wakweli na tumuogope Mungu
 
Musoma hamna cha maandamano wala bibi yake Slaa.CHADEMA MUOGOPENI MUNGU UONGO NI DHAMBI
 
si ccm ndio hamumuogopi mungu mnakula mpaka kodi za wafiwa?
 
MUNGU awalinde hadi kieleweke!!! Peoplesssss!!!!! powerrrrrr!
 
Komaeni huko makamanda sisi huko tabora itafika na sisi tutalianzisha
 
Last edited by a moderator:
V.Nyerere yuko smart sana,10 people wa kariba yake tz ingepaa mno
 
Chalinze! kaka kumbuka ustaarabu huanzia pwani kwa hao wavaa vikoi.Ndio maana kamanda Mboe ametangaza nia akiwa huko Pwani.Pia kumbuka wale watu si watu wakukurupukakurupuka bali huanza kutathmini mambo kabla ya kuyaendea.Hukumbuki tu,ishu ya gesi mtwara ulikuwa umesafiri nino mkuu au hukuwa humu kwenye mitandao.Serikali yenyewe inawaheshimu hao vikoi kwani wanawajua vizuri.Kuuana pasipo hatia na ugomviugomvi ni mambo ya kizamani sana.Nilitegemea kijana uhamasishe lkn kumbe unataka kuleta dharau na kutugawa watanzania?

Kwanza usiniite kijana maana hunijui. Pili Mtwara huijui wewe! Mtwara kuwa Pwani sio tiketi ya kuvaa kikoi. Mmakonde,Mmakuwa,Myao na wengineo wapi nawapi Kikoi? Tembea ndio utaijua nchi hii na tabia za maeneo. Wa kusini ambao nyie mnawaita wamachinga umeona walivyo na detarmination zao? Anatembeza bidhaa toka asubuhi mpaka jioni bila kuchoka na hii ni kwa sababu huko kwao hajawezeshwa kwa miaka yote toka uhuru. Jee ------ anaweza hilo? Au mzaramo? Hao lete ngoma uone! Hata siku tatu atacheza bila kuchoka.
 
Tena ndo tulisha jichokea na ccm, maandamano kwetu sawasawa na ugali wa muhogo kwa sangara.
 
Musoma ni kati ya sehemu chache za jamuhuri ya muungano zenye watu wenye akili za kutosha... .
 
Sasa haya Maandamano ni ya UKAWA AU CHADEMA.....KWA HIYO TUSAHAU KUHUSU UKAWA? AU NA CUF NA NCCR NA WAO WATATANGAZA MAANDAMANO YAO?

Subiri utaona. Hiyo ndiyo inaitwa piga kote kote. Hata wakati Sadam wanampiga yale majeshi ya muungano yalikuwa yanashambulia toka maeneo tofauti. UK tokea Basra, US anapiga Angani na wengine kutokea sehemu tofauti.
 
Back
Top Bottom