- Thread starter
- #221
Hongereni
Maandamano kutoka kila kata na mahala pasipojulikana yamekamilika
Hongereni
Hata sisi ni watanzania. Tena ni wazalendo kuliko hao wahuni wanaovunja sheria za nchi.
Impact??
Impact??
Angalau wangekuwa wanagawa wali......tatizo ni wanawapigania waliowaamasisha kufanya maandamano kula wali wakati wao wananjaa.
View attachment 187404jamaa huyu anawashangaa sana.......watu wa musoma ,badala mfanye kazi
eti munaandamana