Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Nimemuona Dr. Slaa hapo kwenye picha, inaonesha kama kachokaaaa, wamembebesha dunia babu watu roho riziki yake sasa du, watu wabaya!!!
Rev, mbavu zangu.
Sema mkuu, akili zako nzuri sana, mnawapotezea time vijana.
Wee kweli Mkali.
Mkuu, mimi na wewe tunajua kwanini umeandika ulichoandika. Siku nchi hii ikikombolewa kutoka hili kongwa la utumwa hata wewe na mimi tutakuwa tumekombolewa!Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
nakubaliana na aliyeesema kuwa haya ni matembezi na si maandamano.
Halima Mdee na wenzake wako kwenye gari wanakula upepo. Halafu mnataka kufananisha utani huu na kazi iliyofanyika Egypt!
afadhali waje kwenye maandamano, kuliko nyinyi mnaowaweka idle vijiweni
Hata maandamano ni sehemu ya kuhamasisha maendeleo. Ndo maana hata mkulima haishii kulima tuu hata kuieleza familia yake kwamba shambani kumejaa nyani wanakula mazao wauawe ni sehemu ya shughuli za kilimo.
Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
afadhali waje kwenye maandamano, kuliko nyinyi mnaowaweka idle vijiweni