CDM mnatumia vibaya KODI zetu...saa nane ni saa ya watu kuwa makazini kutafuta riski.
aliechoka raisi wako hawezi kutembea hata hatua kumi tena na jua la saa 7 asingefika popote
Na hiyo ndiyo achievement pekee mtakayoipata toka kwenye hayo maandamano; kushangiliwa na watu "wa kawaida".
Du! nilikuwa sijui kumbe JF ni Kijiwe..Unanifurahisha sana toka uanze kupiga kelele umezuia nini maandamano ndiyo kwanza yanaendelea sasa tuko mjini katikati Nyerere Road endelea tu kufurahisha kijiwe.
Nimemuona Dr. Slaa hapo kwenye picha, inaonesha kama kachokaaaa, wamembebesha dunia babu watu roho riziki yake sasa du, watu wabaya!!!
Du! nilikuwa sijui kumbe JF ni Kijiwe..
Mkuu,
Jambo muhimu kabla ya ku-criticise ni kujiuliza...ni nini kiini/theme ya maandamano ya mwanza? What are they demanding for?
Baada ya majibu...hapo tunaweza ku-conclude aidha negatively au positively.
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu![/QUOTE]
Unawajua wenye power kwenye hizo foundation??? acha kudharau nguvu ya umma imekusaidia sana mpaka hapo ulikofikia, hata hivyo kubishana na wewe ni kupoteza muda. Mwenye update za Mwanza tunaomba.
Or DSM and M.sugu mkuu
Nimemuona Dr. Slaa hapo kwenye picha, inaonesha kama kachokaaaa, wamembebesha dunia babu watu roho riziki yake sasa du, watu wabaya!!!
Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
Kwa kutumia your frozen brain
Mkuu,
Jambo muhimu kabla ya ku-criticise ni kujiuliza...ni nini kiini/theme ya maandamano ya mwanza? What are they demanding for?
Baada ya majibu...hapo tunaweza ku-conclude aidha negatively au positively.
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.
Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.
Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".