Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Kabla yake alizungumza Lema na amezungumzia hoja yake na spika. Anasema ni heri kufa mapema kwaajili ya watu kuliko kuishi miaka 10 halafu ukafa kwa typhod au kiharusi.
 

heshima mbele wote hapo juu
 

Chama chenye viongozi wa wanafiki wakubwa hawaishi kwa Vitendo wanaishi kwa maneno tu! Tulitegemea Chadema wakatae zile 90 milion walizopewa wabunge! Hakuna hata Mbunge mmoja kutoka chadema aliejaribu kusema juu ya ufisadi huo! Leo wanapoteza muda kuandamanisha watu wanafiki wakubwa hao,hawana maana yeyote! Nimeanza kuichukia Chadema kwa kukubali kula rushwa ya 90m wakati watu wetu ni maskini! Tanzania hakuna chama chenye uchungu na watanzania vyote vinalengo la kujinufaisha na maslahi ya viongozi tu!
 
Kweli inatia preeeeesha!!!!!!!!!, duuu!!!!
Balaa watanzania tumebadilika. Saaaaaaaaaafiiiiiiiii....sana.
 


Ila maandamano ya wana CCM kuunga hotuba za Rais kuhutubia wazee wa Dar yana tija kwa taifa siyo??
 
Sasa hivi tumesimama na wenye mabango yao wamenyanyua juu huku wanaimba wimbo wa freedom is coming tomorrow
 
Hapo kwenye red hapo, kikwazo ni KAFU
Mkuu mbona unaniangusha?CUF wanaweza kuzuia CHADEMA wasiandamane hapa Dar es salaam?CHADEMA ana majimbo mawili wakati CUF hana hata jimbo moja hapa Dar es salaam!!
 
Sasa ndio amekaribishwa Dr. Slaa, watu wanashangilia kwa nguvu sana
 





Chadema könnte dies maandamano benutzt haben, um Menschen zu initiieren ins Krankenhaus zu bauen, Schulen und Straßen. es ist Verschwendung von Zeit, um Menschen auf der Straße sehen
Si useme haya maneno kama unavyotaka kusema? Eti CHADEMA wanapoteza mda? Eti wangeandamana kuomba zahanati na shule badala yake wanaonekana wazushi?
 
Ungejuaje kuna mil 90 kama sio Chadema kutangaza hadharani. Waziache ili mkalipie Dowans, acha wazichukue wakasaidie wananchi wao kuliko kuziacha JK akabembelee Jamaica, au akamsalimie Ronaldo, what a wonderful president is JK.
 
Originally Posted by elimumali

Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?

piece (p s)n.1. A thing considered as a unit or an element of a larger thing, quantity, or class; a portion: a piece of string.
2. A portion or part that has been separated from a whole: a piece of cake.
3. An object that is one member of a group or class: a piece of furniture.
4. An artistic, musical, or literary work or composition: "They are lively and well-plotted pieces, both in prose" (Tucker Brooke).
5. An instance; a specimen: a piece of sheer folly.
6. A declaration of one's opinions or findings: speak one's piece.
7. A coin: a ten-cent piece.
8. Games a. One of the counters or figures used in playing various board games.
b. Any one of the chess figures other than a pawn.

9. Slang A firearm, especially a rifle.
10. Informal A given distance: "There was farm country down the road on the right a piece" (James Agee).
11. Vulgar Slang A sexually attractive person.

 
Wabunge, kahigi, Machemli, Wenje, Abwao, Kihwelu, Paulina Gekule, Conjesta Lwamlaza, Joyce Mukya, Naomi Kaihula, Philipa Mturano, Regia, Mnyika, Mdee, Sugu
 
Wow!
The CDM is famous huh!!
Sikutegemea kuona watu wengi kiasi hicho!!!
are all demonstrators or some are just bypassers?!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!

Kaka ur right. Dr aachane na hayo muda wa kampeni umeshakwisha. wanajamii wahamasishwe kushiriki na kujitolea kufanya isue za kuleta maendeleo na sio kushinda na makombati barabarani anashusha hadhi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…