Ndio maana tunaandamana ili tupate uhuru wa kweli na hawa wavamizi wawe productive. Huelewi nini sasa.
nikweli mkuu hiyopicha tunadanganyana,buzuruga kama unakuja town kulia kuna stend kubwa ya mabasi nakulia kunakituo kikubwa chamafuta cha gbp ambapo eneolote lina lami namajengo hakuna barabara ya vumbi,labda hapo nimaeneo yakasulu au mpanda,nakataa katakata hapo sio buzuruga mwanza.tusidanganyane.Jamani nina wasiwasi na hiyo picha. Picha hii siyo ya mwanza!!
Mji wa mwanza na vilima vyake vinafahamika vizuri sana. Naomba niwe wa kwanza kuikataa picha hiyo na klusema wazi kuwa imechakachuliwa!!!!
Mimi natoka.
Nawaachia usia.
Sisitizeni watu kufanya kazi kwa bidii.
Umasikini wote wa watanzania msiwadanganye kuwa unatokana na serikali.
Kufeli kwa form four msiwadanganye kuwa kumesababishwa na serikali.
Waambieni ukweli, bidii unashinda changamoto nyingi. Ndio maana katika umasikini uliopo kuna wanaofanikiwa.
Ndio maana katika matokeo mabaya ya form four kuna wanaofaulu.
Waambieni ukweli, kuwa bila kufanya bidii hata ikiingia Chadema madarakani wataendelea kuwa masikini.
Waambieni ukweli kama mnajali taifa hili.
Msipofanya hivyo mtakuwa mnapoteza muda wenu na wa wale mnaowadanganya, kwa sababu HUTUTAWARUHUSU kushika dola.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Huo mchiriku mnaocheza Mwanza unaweza kuufananisha na kazi iliyofanyika Egypt?
Maandamano mko kwenye gari?
Maandamano mnajiandaa kwa kuingia saloon kwanza ndio mhudhurie, halafu mnajiita wapiganaji?!!!
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
mimi leo nipo mwanza nipo hapa kwa biashara zangu,ila namimi baada ya kuwaona viongozi wetu wako ktk magari wanakula kiyoyozi wanyonge wanaungua najua nimekodi taksi nawasubiria viwanja vya furahisha,ila kwahakika watu niwengisanasana,nasubiri viongozi watatoa hotubagani,kwangu hilo ndio kubwa kulikoyote.Niwekee kwenye PM best.....hata ile ya wafahidhina uligoma! Kila laheri usiache kuandamana siku yakiwa kwenye maeneo yako....Pipoz Pouwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Andamaneni halafu kesho asubuhi au wiki ijayo mtuambie hayo maandamano yameleta mabadiriko gani?
Sio mnaandamana kila siku na hakuna kinachobadiria lakini bado mnaandamana tena na tena na tena.
Kuwa insane maana yake ni " to do the same thing again and again and then somehow expect different results". Mkiandamana kila siku na hakuna kinachobadirika mjue mko insane.