Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza


Huo mchiriku mnaocheza Mwanza unaweza kuufananisha na kazi iliyofanyika Egypt?
Maandamano mko kwenye gari?
Maandamano mnajiandaa kwa kuingia saloon kwanza ndio mhudhurie, halafu mnajiita wapiganaji?!!!
 
Baya zaidi wakitoka hapo na njaa usiku watakuvamia wewe hata panga la shingo watakupa, shauri yako.
Ndio maana tunaandamana ili tupate uhuru wa kweli na hawa wavamizi wawe productive. Huelewi nini sasa.
 
Fedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
Kipi bora, kuzuia mabomu yasilipuke, au kutaka yalipuke halafu uonekane wa kwanza kutoa rambirambi?
 
Bila picha mi sioni raha ya hii thread. Nashukuru lakini kwa taarifa.
 
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!

Akili zako zipo matakoni? Kwani wananchi wangapi wananufaika na upupu wa kikwete kutapanya rasilimali kwa marafikize? Au unamaanisha nini kusema wananchi wanafaidikaje(labda wenye nchi ni wewe,familia yako na kikwete+familly,lowasa+familly,rosta+co..)..
 
Hatuko kwenye mipasho hapa ongea mneno yanyoeleweka sio kauli zinazonuka uozo wa fikra sisi sio watanzania wa mwaka 47 tunajua tunachofanya unaposema hamjawahi kuhamasisha ujenzi wa shule unamaanisha nini ? Ndo nyie mliosema ccm haina mafisadi na Dr akiwataja itakuwa kashfa hivyo mtamshitaki acheni uhayawani mbona hamjamshtaki sie tushachoka longolongo tunataka maendeleo ya kweli.

Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
 
We Zemarcopolo, Je una cheti cha daktari kinachohusiana na akili? Kama ujui umuhimu wa maandamano kawaulize wa Tunisia, Wa Misri, n.k. Sio unapinga tu. Leo hii we ukiambiwa utoe mchango hutoi. Pia we mwenyewe ukiambiwa ujiunge hata kwenye maandamano ya kuchangia wahanga wa Mambomu huji. Kazi yako ni kuandika email na posting tu ndicho unaweza. Waache wenye uchungu waandamane. We unaona kila kitu poa unapata milo mitatu kwa siku, usafiri unao, Umefunga solar & Generator, Nyumba safi yenye kiyoyozi, TV 42 inches n.k. Sisi wengine tunapata mlo mmoja tu tena kwa sida, kila kukicha hatujui siku itaisha vipi.
 

"To greed, all maandamano is insufficient"
 
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!

Don't waste time by arguing with this fool, who believes development will be forged through EPA, Richmond, Dowans, Deep Green, etc...
 
Mbona haya maandamano sio live tena, tunaomba updates tafadhali mlioko Mwanza.
 
Asante kwa kutujuza, na tunategemea watu hawataanzisha zaili makusudi ili kuyapa umaarufu maandamano ya leo.
 

Msipoteze muda kujibizana na huyo ZeMarcopolo!!!! Inawezekana kabisa yuko kazini!!!!

Tiba
 
Dr is bored now afadhari asimamie MATEMBEZI YA AMANI...hivi ni nini kinategemewa kutokana na matembezi haya?

Kutolipa Dowans?
Gharama za maisha kushuka?

Je wakilipwa na gharama za maisha zikiendelea kwenda juu nini kitafanyika matembezi mengine mbeya?
 
Ndugu yangu unaepinga maandamano waonekana umekunywa maji ya bendera za kijani. unapinga bila critics point, umetumwa?
 
naona wananogewa na maandamano na speaches za President wa JMT 2o15, Dr. Slar; kiasi cha kujisahau kutuhabarisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi natoka.
Nawaachia usia.
Sisitizeni watu kufanya kazi kwa bidii.
Umasikini wote wa watanzania msiwadanganye kuwa unatokana na serikali.
Kufeli kwa form four msiwadanganye kuwa kumesababishwa na serikali.
Waambieni ukweli, bidii unashinda changamoto nyingi. Ndio maana katika umasikini uliopo kuna wanaofanikiwa.
Ndio maana katika matokeo mabaya ya form four kuna wanaofaulu.
Waambieni ukweli, kuwa bila kufanya bidii hata ikiingia Chadema madarakani wataendelea kuwa masikini.
Waambieni ukweli kama mnajali taifa hili.
Msipofanya hivyo mtakuwa mnapoteza muda wenu na wa wale mnaowadanganya, kwa sababu HUTUTAWARUHUSU kushika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…