SHUPAZA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 562
- 23
Ebu tuondolee upuuzi wako wa kiyuvisisiemu hapaHali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.