kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,461
- 5,860
endeleeni kujipa moyo!
Chadema wapiganaji bana
Kuna kupigana bila kutoa damu?
Hayo ndio matokeo ya kuandaa watu kufanya mapambano...
Walikufa watu 38 chini ya Kamanda William Mkapa nini watu 2? polisi walikuwa so polite to these people
Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
kwa vile wana moyo wa kujaribu...subiri Mwanza na sisi tutaamka!Haiwezekani wanasiasa tu kwa sababu wanatetea haki ya wote kuwekwa lupango and this source is apparently true. Moshi arusha na tanzania kwa ujumla amkeni kwani sasa hivi we know our rights and democracy is getting spread all over. Mbowe, Selasini na Lema piganieni haki za wote na sio haki za chama cha chadema............ Lakini mbona wote wachaga tu!!!!!!!!!!!!!!!
CrappyDuh..kumbe ndio mnatoa hapa;
Kumbe Assumsption ni kuwa: Vote turn-out ilikuwa almost 100%(Big NO)
Kikwete Alipata kura: 5,000,000 kati ya kura 18,000,000 zilizopigwa ambayo ni 27%;
Katika 12,000,000 ambao hawakupiga kura, imekadiriwa Dr. Slaa alipata 9,500,000, hivyo ukijumlisha na kura 2,000,000 alizopata ana 64%
Ndizo data zenu hizi?great thinkers??
Mie nilidhani data kama hizi ni wafuta bange pekee ndio wanaoweza kukubali makasa kama haya; kumbe ata wasomi wazima wenye akili timamu nao wanaingia tu kichwakichwa? sasa naamini kuwa Watanzania tuna matatizo makubwa kuliko tunavyodhani, wake up men!!
Mtu yeyote aliyeshiriki au kuufuatilia upigaji kura katika uchaguzi ule, atakubali bila ya shaka kuwa turn-out ilikuwa ni less than 50%; tusiongeeongee vitu kama watu wasio sawa kichwani.
Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
Chadema haikubeba rungu, haikubeba silaha iliwezaje kumwaga damu?
Waliomwaga damu ni polisi wliokuwa na silaha na walimwaga damu za wafuasi wa chadema.
Mahesabu magumu jamani........its so obvious!
Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
wao ndio waliosababisha. Kwa sababu Polisi ilishatoa order ya kutofanya maandamano. So its obvious that wamedhuru raia.