Maandamano ya amani kwa wanafunzi wote wa vyuo nchini

Tangu lini wanafuata mkataba hawa? Wanajipangia tu vile wanavyojisikia. Hata hii 15% wanayotukata ni nje ya mkataba ila waliilazimisha hadi wakafanya yao.

Kila la kheri katika hayo maandamano.
Hope mmeusoma mkataba na kuuelewa maana nijuavyo mie hizo pesa hulipwa kulingana na idadi ya siku za masomo ila ada huwa si hivyo.
Thubutu, nimelogwa kila Mtu alikuja na begi lake na kila Mtu alitoka kwao. Eti Abdul Nondo anahamasisha nani aungane nawewe wa Kujiteka. Si andamani na ole wake atakaye nilazimisha niandamane
 
Mathematically, what I know is that boom is paid per day and not per semistar or phase.

Logically, students should observe the terms on the HESLB contracts, it boom payment based on per day or per phase?

If it is based on per day payment, good, count the days multiply by the amount due per day.

I graduated at UDSM, were so brave on this tactical, technical and legal (contract) matters.
 
Vijana shikilieni hapo hapo. Kuna wajinga humu wanawatisha. Haki haiombwi hata siku moja. Gomeni gomeni gomeni acheni woga. Huo ni mkopo na ni haki yenu. Nyinyi ambao hamjui maisha ya Chuo acheni kuwatisha watoto kinafiki. Mmeona mabilioni yaliyotumika kuhonga wajumbe serikali ikishindwa kudhibiti uhuni huo kwenye nidhamu ya fedha ya nchi . Natamani ingekua before 2005 wangekoma. HESLB JINGA SANA.
 
Huyo Ndalichako mwenyewe mjinga sana. Wanafunzi wanasinzia darasani eti kusoma wakati wana njaa. Mengine humu yalisoma kulipa mkopo hayalipi. Yanaropoka tuuu. Jitu linaongea tu sababu linafaidi mfumo wa hovyo limesahau lilipotoka.. NDEGELESI. Let the student make their history for their rights.
 
Mathematically, what I know is that boom is paid per day and not per semistar or phase.

Logically, students should observe the terms on the HESLB contracts, it boom payment based on per day or per phase?

If it is based on per day payment, good, count the days multiply by the amount due per day.

I graduated at UDSM, were so brave on this tactical, technical and legal (contract) matters.

You graduated as puppet and idiotic.
 
You graduated as puppet and idiotic.

I might be idiotic to the super idiot as you are, may you please discuss the matter and not the event, is boom (not tuition fee) paid in basis of days or semester, by that time we were at the university we were paid 5 thousands per day which was incorporated together into a phase of half a semester though later on we got into 7500/= payments par day, my argument is still the same, as those boys, according to their contracts, is boom paid per day or per semester?
 
Boom linalipwa per day na iko hivyo miaka yote. Kama mhula kwa udsm una siku 120 watalikwa kwa siku 120 na vivyohivyo vyuo vingine same to prectical training
 
Back
Top Bottom