Maandamano ya amani kwa wanafunzi wote wa vyuo nchini

Endeleeni Kukubali KUTUMIKA.....

HAMJAANZA kusoma nyinyi......

Watu Tuna Msiba Halafu Wasomi Mnakosa SUBIRA kwa kuyamaliza Mambo yenu kwa njia za kidiplomasia........

HESLB ya siku hizi iko POA tofauti na ile ya MKURUGENZI wa zamani mzee NYATEGA......

Kina Dr. Cosmas Mwaisoba walijitahidi KUIBADILISHA bodi ya mikopo....

Iko Sehemu mnafeli.......

Ongeeni na HESLB na muache mpang o KOKO wa MAANDAMANO TAJWA.

AKILI KUMKICHWA
Nife na njaa kisa kuna msiba?!! we vipi???
 
Kuna mahala kwenye mkataba waliandika makato yataongezeka mpaka 15% bila kumshikirisha mlipaji?.Mbona waliongeza
Kwa kuwa wamesema hivyo kwenye marekebisho ya sheria ya bodi pasi kumshirikisha mlipaji ndo unaamua kuandamana...washauri hivyo ndo utajulikana kuwa kuna wanafunzi wamesahau mwalipotoka
 
Hamjambo wanabodi,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kutakuwa na maadamano ya amani dhidi ya bodi ya mkopo nchini (HESLB), maandamano haya yataanza siku ya jumatatu tarehe 27/07/2020 na kuendelea mpaka pale HESLB itakapo rejea masharti ya mkataba na kutenda haki kwenye utoaji wa pesa ya kujikimu(boom).

Maandamano haya yatafanyika kwa kufuata hatua zifuatazo:-
kutoingia darasani kuanzia jumatatu na kuendelea mpaka pale pesa itakapo kuja yote kutoka HESLB

Kwanini maandamano?
Kwasababu mkataba ulipo kati ya mnufaikaji wa pesa ya kujikimu ni sh 2, 040, 000/=kwa mwaka ambapo hulipwa sh 510, 000/= kwa kila phase. Mwaka wa masomo huwa una phase 4 za ulipaji. Kilichotokea baadhi ya vyuo wanaambiwa wakasaini boom la sh 306, 000 /=kwa UDSM na sh 206, 3000/= kwa UDOM, vipo vyuo hadi laki moja.
Ukirejea mkataba haujawahi kusema kwamba ikitokea siku zimepungua na pesa itapungua.

Kama ndio hivyo basi nasi mtupunguzie ADA maana muhula umekuwa mfupi na siku zimepungua sana.

Vijana wa kiume na kike naomba tuungane kwa pamoja kufanikisha wazo hili najua nalo litapita lakini tunaihitaji kuwakumbusha bodi ya mikopo kwamba hatujalala na tupo hapa kupigania haki zetu kwa pamoja tunaweza.

Vijana ndio taifa la kesho, amka pambana dai haki yako na tekeleza wajibu wako.
......kwa UDSM tukutane 'Revolution Square' jumatatu SAA 2 asubuhi....

#MAANDAMANO YA AMANI
View attachment 1515754
Hugo aliyewashauri kuacha masomo mwende kuandamana rudini mkamuulize upya kama anajua kile alicho washauri.
Kama kunavitu ambavyo hutakiwi kugusa kwenye utawala huu ni maandamano.
 
Vichinjio vyenu vya kupigia kura mnavyo?

Hiyo ni siraha moja kali sana ya kuwavusha kwa wakati huu kuliko kitu kingine chochote.

Kurahisisha mambo, ruhusu watu waweke sahihi kwa kiasi chochote kinachotolewa wakati huu; lakini msimamo ubaki 'Boom' nzima itolewe.

Hii ni kuhakikisha hata wanafunzi ambao mifuko imekauka kushiriki bila ya kupata michubuko.

Chukueni hicho kinachotolewa, lakini bakini na msimamo wenu ule ule wa kupata haki yenu kamili.

Hili likiwashinda wakati huu ambapo kila kitu mnaonekana kuwa mnacho - yaani mmeshika mpini, basi hakuna mtakaloweza wakati mwingine wowote.
 
Hugo aliyewashauri kuacha masomo mwende kuandamana rudini mkamuulize upya kama anajua kile alicho washauri.
Kama kunavitu ambavyo hutakiwi kugusa kwenye utawala huu ni maandamano.
Huu wa kwako sio ushauri, ni ujinga.

Hebu jisome tena ulivyoandika, halafu uone kama wewe sio mjinga wa kutupwa!
 
Akili za woga usipandikize kwa vijana.

Kwa nini uwe upande wa haki afu uonewe. Nini hukumu ya hao waonevu unayoweza ipendekeza.. ama ndiyo kumuachia Mungu.?
Matatizo hayatatuliwa kwa mihemko na maandamano. Angalau sio kwa Tanzania.

Wameshaandika barua kwa waziri na kwa HESLB. Hiyo inatosha.

Wasipozisikiliza hizo barua basi ujue waliloamua ndilo wameamua.

Kwahiyo unataka kupindua serikali ama? Utaweza lakini?

Dooh!
 
Haya andamanen nyie mlikua kwenu wakat wa korona alafu mbata Ela za Nini mkumbuke wadogo zenu walichapwa fimbo sijui nyie mtafanywa nn
 
Kwan wewe huna wazaz wa kukuongezea izo Ela Anza kwa kumgomea Baba yako na mama yako kwa kushindwa kukusomesha wao kama wao na kukufanya uish kwa kutegemea mikopo mtoto mjinga ni.mzigo kwa mama yake na usipo kua makin na mwanao atakuja kutegemea mikopo ili apate elim yake kwa ujinga wa Baba yake kukesha jamiforums kuamasisha vurugu kwa wanafunzi
Hamjambo wanabodi,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kutakuwa na maadamano ya amani dhidi ya bodi ya mkopo nchini (HESLB), maandamano haya yataanza siku ya jumatatu tarehe 27/07/2020 na kuendelea mpaka pale HESLB itakapo rejea masharti ya mkataba na kutenda haki kwenye utoaji wa pesa ya kujikimu(boom).

Maandamano haya yatafanyika kwa kufuata hatua zifuatazo:-
kutoingia darasani kuanzia jumatatu na kuendelea mpaka pale pesa itakapo kuja yote kutoka HESLB

Kwanini maandamano?
Kwasababu mkataba ulipo kati ya mnufaikaji wa pesa ya kujikimu ni sh 2, 040, 000/=kwa mwaka ambapo hulipwa sh 510, 000/= kwa kila phase. Mwaka wa masomo huwa una phase 4 za ulipaji. Kilichotokea baadhi ya vyuo wanaambiwa wakasaini boom la sh 306, 000 /=kwa UDSM na sh 206, 3000/= kwa UDOM, vipo vyuo hadi laki moja.
Ukirejea mkataba haujawahi kusema kwamba ikitokea siku zimepungua na pesa itapungua.

Kama ndio hivyo basi nasi mtupunguzie ADA maana muhula umekuwa mfupi na siku zimepungua sana.

Vijana wa kiume na kike naomba tuungane kwa pamoja kufanikisha wazo hili najua nalo litapita lakini tunaihitaji kuwakumbusha bodi ya mikopo kwamba hatujalala na tupo hapa kupigania haki zetu kwa pamoja tunaweza.

Vijana ndio taifa la kesho, amka pambana dai haki yako na tekeleza wajibu wako.
......kwa UDSM tukutane 'Revolution Square' jumatatu SAA 2 asubuhi....

#MAANDAMANO YA AMANI
View attachment 1515754
 
Ningewashauri watulie kama walivyotulia watumishi wa umma , Magufuli amefunga miaka 5 mfululizo bila kuwaongezea hata senti moja watumishi kwenye mishahara yao mbali na kwamba hili lipo kisheria. Mwezi Julai huu wa 2020 mh Rais hajaongeza hata senti kwenye mishahara ya watumishi japo wengi walitarajia iwe hivyo, alichokifanya ni kupunguza kodi kidogo tu. Pia watumishi wanufaika wa bodi ya mikopo waliongezewa makato kutoka 8% hadi 15%. Hakuna mtumishi yeyote ambaye ameweza hata kunyoosha kidole kuzungumza haya madhira. Huyu hachelewi kuamuru vyuo vifungwe na mrudi nyumbani na shule ikawa imeishia hapo maana nadhani hana huruma kabisa japo sina uhakika.
 
HELSB wameachwa wafanye wanavyotaka
Unafikiri wahusika hawajui?
Acheni mgomo, ingieni darasani,
jivikeni ujumbe.
 
Wakati mnataka kuandamana mnapewa pesa kidogo kuna watu wameshindwa kabisa kusoma kwa sababu hawapati hata hicho kidogo mlichopewa.

Kama hamkuwahi kuandamana kwa ajili ya wenzenu walionyimwa mkopo na wakakata tamaa ya kuendelea kusoma,msidhani mkiandamana sasa hivi mtazipata bure.Kuna wanaokwenda kutolewa kafara.

Mimi si nabii ila zingatieni maneno yangu.

Akili ndogo
 
Kipindi kigumu ni huu msiba!?
Watu hamkosi sababu aise, ningekuelewa ungesema kipindi kigumu hela hakuna kwasababu ya planning mbovu.
 
Hizo laki mbili zitawatokea puani!

Be humble. Ni ushauri tu lakini.

Unaweza kuwa upande wa haki na ukaumia vile vile!

La kuambiwa........
Tusitishane acha wapiganie haki yao. Pesa za kujikimu zipungue alafu adda ibaki pale pale. Ni wizi uo.
 
Hamjambo wanabodi,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kutakuwa na maadamano ya amani dhidi ya bodi ya mkopo nchini (HESLB), maandamano haya yataanza siku ya jumatatu tarehe 27/07/2020 na kuendelea mpaka pale HESLB itakapo rejea masharti ya mkataba na kutenda haki kwenye utoaji wa pesa ya kujikimu(boom).

Maandamano haya yatafanyika kwa kufuata hatua zifuatazo:-
kutoingia darasani kuanzia jumatatu na kuendelea mpaka pale pesa itakapo kuja yote kutoka HESLB

Kwanini maandamano?
Kwasababu mkataba ulipo kati ya mnufaikaji wa pesa ya kujikimu ni sh 2, 040, 000/=kwa mwaka ambapo hulipwa sh 510, 000/= kwa kila phase. Mwaka wa masomo huwa una phase 4 za ulipaji. Kilichotokea baadhi ya vyuo wanaambiwa wakasaini boom la sh 306, 000 /=kwa UDSM na sh 206, 3000/= kwa UDOM, vipo vyuo hadi laki moja.
Ukirejea mkataba haujawahi kusema kwamba ikitokea siku zimepungua na pesa itapungua.

Kama ndio hivyo basi nasi mtupunguzie ADA maana muhula umekuwa mfupi na siku zimepungua sana.

Vijana wa kiume na kike naomba tuungane kwa pamoja kufanikisha wazo hili najua nalo litapita lakini tunaihitaji kuwakumbusha bodi ya mikopo kwamba hatujalala na tupo hapa kupigania haki zetu kwa pamoja tunaweza.

Vijana ndio taifa la kesho, amka pambana dai haki yako na tekeleza wajibu wako.
......kwa UDSM tukutane 'Revolution Square' jumatatu SAA 2 asubuhi....

#MAANDAMANO YA AMANI
View attachment 1515754
Mbona haikusainiwa hii document.
Jumatatu ni mapokezi ya Lisu hii janja tu yakutaka kuzima habari ya Lisu.
 
Back
Top Bottom