Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

Gagnija

Platinum Member
Apr 28, 2006
12,045
10,931
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.

Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya kikatiba kupinga kinachoendelea Gaza.

Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria.

Marekani anahimiza haki za raia kuandamana na uhuru wa kujieleza kwa mataifa mengine wakati yeye hawezi kuziheshimu?
 
Marekani ni wanafiki sana. Wao wenyewe wanaongoza kwa kuchochea vurugu kwenye mataifa mengine dunia na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu. Sasa hivi wanaunga mkono na kusaidia genocide ya Israel kwa wapalestina, wakati huo huo wakijiita wanademokrasia na watetezi wa haki za binadamu. Uongo na unafiki mtupu.
 
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.

Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya kikatiba kupinga kinachoendelea Gaza.

Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria.

Marekani anahimiza haki za raia kuandamana na uhuru wa kujieleza kwa mataifa mengine wakati yeye hawezi kuziheshimu?
Let them test their own cooking siku zote mkuki kwa nguruwe
 
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.

Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya kikatiba kupinga kinachoendelea Gaza.

Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria.

Marekani anahimiza haki za raia kuandamana na uhuru wa kujieleza kwa mataifa mengine wakati yeye hawezi kuziheshimu?
Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
 
Hii ya kwako ni bad hasbara 101. Hakuna myahudi yeyote aliyetishiwa maisha, si NYU, Columbia wala chuo chochote. Miongoni mwa waandamaji wanaotaka ceasefire now, wapo wayahudi wengi tu. Kinachofanyika ni intimadation na kuziba watu midomo.

Huwezi kuilenga serikali ya Israel au kuikosoa bila kuitwa antisemetic. Kuna wayahudi wengi tu ambao wazazi wao na family wengine walikufa wakati wa holocaust, ambao leo wanapiga mwenendo wa Israel, nao pia wanaitwa antisemites na maisha yao kuvurugwa kabisa. Mfano Pro. Normal Finkelstein, İlan Pappe, Miko Peled, Dan Levy na wengi wengine.

Nikiomba utoe mfano wa myahudi mmoja tu ambaye maisha yake yametiwa matatani na haya maandamo ya wanafunzi, sidhani kama unao huo mfano.

Tuache kupindisha maneno, issue ya Israel na Palestina imekuwa kubwa zaidi ya watu wengi wanavyofikiria, kwasasa ni fight dhidi ya ubeberu na ukoloni mambo leo kwa ujumla wake. Ile wamagharobi wanayoita “a rule based order” imekuwa exposed. Hakuna cha demokrasia wala nini, ni uhuni mtupu.
I'm
 
Attachments

  • IMG-20240424-WA0033.jpg
    IMG-20240424-WA0033.jpg
    44.9 KB · Views: 2
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.

Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya kikatiba kupinga kinachoendelea Gaza.

Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria.

Marekani anahimiza haki za raia kuandamana na uhuru wa kujieleza kwa mataifa mengine wakati yeye hawezi kuziheshimu?
Ni ujinga ujinga tu. Yaani wakati waislamu wakifanya mauaji ya wayahudi basi vifijo na nderemo mpaka misikitini na kibaya kabisa wauaji ni mashujaa, ila sasa eti aljazeera wanaandika mauaji kimbari Gaza. Hivi vita siyo vya kwentu, kwa sisi wasomaji wa bibilia ni wayahudi siku zote watapigani hiyo ardhi na Mungu wao wa kweli atakuwa nao muda wote, hapo wanatakeleza agizo la Mungu wao na wakikosea ndiyo maana huwa wanapata adhani ya vifo, so kwa sisi tuliombali ukasirike/uchukie ila wapalestina they will always die kwa sababu haya ni mambo ya miungu ya wapalestina na Mungu wa wayahudi. Mi ndiyo maana siumizi kabisa kichwa kutafuta nani mkweli au anaonewa maana wote they’re fighting kwa ajili ya taifa lao husika. Kibaya zaidi wapalestina wamemfanya kila rais kuwa mpiganaji wakati huo huo na wayahudi nao wamefanya hivyo hivyo then mimi toka huku Tanganyika nianze kushabikia ugomvi wa watu wanaojuana no kabisa
 
Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
Tena kosa kubwa na hao waandamanaji hawana tofauti na hamas ,maana sioni kosa la myahudi aliyeko Wisconsin au Manhattan hata yule aliyeko Israel wao waende kwenye balozi wapeleke dukuduku lao
 
Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
Ndio maana watu wanakamatwa vyuoni nakupigwa pingu?. Mkuu hizi habari zako utawaambia ambao hawaoni Video zakinachofanyika.
 
Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
Ukiusema ubaya wa wayahudi ni hate speech (anti-semitism), ukiusema ubaya wa waarabu ni free speech. 😆😆
 
Wengi ni Diaspora kutoka Palestine na middle east kwanini wasirudi kwenye nchi zao wakaandamane?
Hayo ni majibu mepesi kwa maswali magumu.

Israel kwenyewe kuna wayahudi wanaandamana kupinga ufedhuli huu.
 
Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
Watu wanadakwa na polisi kwa mamia we unasema hakuna wanaozuiwa!!..wameweka kambi vyuoni wamedakwa wapo ndani
 
Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
Uharo mtupu.

Polisi wa Marekani wamekabiliana kikatili na maandamano ya wafuasi wa Palestina katika vyuo vikuu vya kifahari, yakilenga wanafunzi wanaotetea kusitishwa kwa vita vya mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.

View: https://x.com/presstv/status/1783450616028619229?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom