Thubutu, nimelogwa kila Mtu alikuja na begi lake na kila Mtu alitoka kwao. Eti Abdul Nondo anahamasisha nani aungane nawewe wa Kujiteka. Si andamani na ole wake atakaye nilazimisha niandamaneTangu lini wanafuata mkataba hawa? Wanajipangia tu vile wanavyojisikia. Hata hii 15% wanayotukata ni nje ya mkataba ila waliilazimisha hadi wakafanya yao.
Kila la kheri katika hayo maandamano.
Hope mmeusoma mkataba na kuuelewa maana nijuavyo mie hizo pesa hulipwa kulingana na idadi ya siku za masomo ila ada huwa si hivyo.
Was it a final say!?View attachment 1516362
Mathematically, what I know is that boom is paid per day and not per semistar or phase.
Logically, students should observe the terms on the HESLB contracts, it boom payment based on per day or per phase?
If it is based on per day payment, good, count the days multiply by the amount due per day.
I graduated at UDSM, were so brave on this tactical, technical and legal (contract) matters.
You graduated as puppet and idiotic.
Boom linalipwa per day na iko hivyo miaka yote. Kama mhula kwa udsm una siku 120 watalikwa kwa siku 120 na vivyohivyo vyuo vingine same to prectical trainingI might be idiotic to the super idiot as you are, may you please discuss the matter and not the event, is boom (not tuition fee) paid in basis of days or semester, by that time we were at the university we were paid 5 thousands per day which was incorporated together into a phase of half a semester though later on we got into 7500/= payments par day, my argument is still the same, as those boys, according to their contracts, is boom paid per day or per semester?