Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
Daaah! Kaka hapa sasa ndo ulipolikoroga kabsaa.. Yaani huna hoja hata kidogo.. Ulishaambiwa kuwepo CCM ni utaahira, naona sasa inajidhihirisha.. We siku zote unajua JF tunatumia Fake IDs leo umezidiwa hoja ndo unaomba tu'reveal IDs zetu.. Siku zote ulikuwa wapi? Hapa sio facebook pa kuuza sura mjomba, hapa ni kufikiri zaidi na kuuza hoja.. Sio kupga pcha na kinadada na kuzipost ili watu wa'like. Hatuna hyo, labda we junior member umekosea, rudi fb! Hapa huwezi..
Ila hata FB ambapo sura zetu zipo huwa huwezi kujibu hoja. Mimi ni kati ya watu ambao kila siku hucomment on ur shallow posts.. Sasa kule 90% ya wanaokomenti huwa wanakucriticize..
Kimsingi kaka huwezi kujenga hoja mbele ya waelewa na wasomi.. Nadhani umepewa hyo nafasi coz unaweza mipasho kama bosi wako au kiimla kama kawa (Nnauye Sr.) na wewe ndo unachangia kuiua NyiNyiEm yenu, kwa kutojua uongee nini, muda gani na mahala gani, unaishia kushndana na CDM yenye mtandao mkubwa mioyoni mwa watu. Huwa unaanzisha jambo halafu huwezi kulitetea au kulisimamia kimantiki, hvyo unakosa sifa ya uongozi. Jitambue kaka JK anakutumia kama chambo kuangamiza mtandao wa Lowasa ambao yeye mwenyewe umemshnda, na wewe umeshakushnda.. Kwa taarifa tu kidogo, hivi sasa kutoka upinzani EL ndo anakubalika, yaani CCM wamteue awe mgombea urais apambane na CDM.. Na nakuhakikishia mtamteua tu by any means.. Na ikitokea bahati mbaya akaukwa urais, wewe na JK mtahama nchi!
So kaka jipange, jiheshmu.. Japo kutetea CCM ni ngumu kwa sasa, lakn wewe kwa kuwa umeanza basi malizia, au kama unaona soo huna hoja za msingi tumia anonymous kama Ritz, Rejao, Waberoya, Tume ya katiba, Judi wa Kishua na mapunguani wengne ambao wamekukimbia kwenye huu uzi wako.. Pia stop calling Dr.Slaa fake Dokta, huwezi lingnisha degree zake na honorary degree ya JK, aliyopewa kwa kubwabwaja.
Mbumbumbu intelligent.