Mkuu taratibu zetu au tuseme katiba yetu ni mbovu, inatakiwa kueleweka wazi ni hatua gani zichukuliwe kunapotokea maandamano, makusanyiko, shughuliyoyote yenye watu wengi kama sherehe!!!!! Sio jeshi eti la polisi linatawanya maandamano tena ya amani bila vurugu zozote kwa risasi, serikali na katiba haithamini wananchi, inatakiwa polisi aliye toa amri watu wapigwe risasi apelekwe mahakamani kujibu mashitaka ya kuua!!!! Mbona wanaua na ni kimya, kifo chetu ni katiba mbovu isiyo na uzito namsisitizo wa kulinda raia na mali zao!!!! Mwananchi anatakiwa kuheshimiwa sio kuuwawa kama kuku, kiongozi mkuu wa nchi anatakiwa awajibike pindi polisi wanapo wauwa raia bila hatia!!!! KATIBA MPYA YENYE MAMLAKA ITAKUWA MKOMBOZI WA WATANZANIA!!!!!!!Kweli kabisa watu 56 ndio wameshindwa kudhibitiwa na polisi bila kuwafyatulia risasi? kweli wengine tumesema hili jeshi linahitaji kuvunjwa na kuundwa upya bado lina mawazo ya kikoloni sana!
Bila uasi hii nchi haikomboleki
vipi mkuu, uko sawa!?Mimi Nimejiuliza Hadi Machozi kwa sasa Yananitoka!! Mauwaji Yamekithiri!! Jeshi la polisi ni walinanda amani, Watu wanaandamana kuomba walinda amani wawaongezee Ulinzi!! Walinda Amani wanawaua!! Jamani Tanzania Tumefikia Hapa!! Mtu akiandamana Kwenda kwa Mtawala wa Eneo, Si unamruhusu ila unahakikisha Hasabishi Madhara?
Ok sasa hawa Vijana Wanatuhumiwa Kupiga mawe Jengo la Chama Fulani!! Je adhabu yake ni kifo!! Je Tanzania Tumefikia Hapa!!
MACHOZI YANANITOKA NAOMBA NIISHIE HAPA
Wakuu nimepigiwa simu na rafiki'angu toka Songea anasema kumekuwa na mauwaji ya kutisha kwa mda wa wiki sasa na inasemekana watu zaidi ya kumi wamesha uwawa ingawa RPC amedai wananchi wasihofu.
Pia nasikia wananchi waliandamana mpaka kwa mkuu wa Wilaya ila bado uvumbuzi haujapatikana na inasemekana wananchi waliwachoma moto watu wawili kutokana na tuhuma za kuhusika na mauwaji hayo na ndipo wauwaji wakasema sasa wataendeleza mashamulizi.
Mwenye ndugu pande hizo anaweza mpigia simu ili tuweze pata taarifa zaidi ila kuna jamaa yangu mwingine ni polisi nae ameniakikishia kuwa hali si nzuri kwa sasa.
![]()
![]()
![]()
![]()
Tuwe wakweli pale inapobidi,polisi sio miungu wa kuota na kuzuia uhalifu ,kazi yao inategemea ushirikiano wa raia,mauaji ya waendesha pikipiki yalikuwa mengi sana kanda ya ziwa miaka btn 2008-2011 na yalimalizwa na waendesha pikipiki wenyewe.Wao ndio wanaokaa mitaani,wanawafahamu vibaka wote na wanawafahamu dealers wa used spare parts za pikipiki etc kitu walichofanya waendesha pikipiki wa kanda ya ziwa ilikuwa ni kuunda umoja wao against wezi wa pikipiki,walikuwa wanapeana taarifa wanapoona sura inayotia mashaka,wanasaidiana kufuatilia nyendo za watu mbalimbali,wanafuatilia pale mwenzao anapokodishwa na mtu asiye eleweka vizuri na pale mwenzao anapochelewa kurudi etc pia wame track na kukamata wezi mbali mbali na kuwakabidhi polisi,sasa kuandamana wakati wao wenyewe hawafanyi ulinzi shirikishi na baadhi yao ndio wanao chora wizi wa pikipiki ni wastage of time na kutafuta scape goats