Tuwe wakweli pale inapobidi,polisi sio miungu wa kuota na kuzuia uhalifu ,kazi yao inategemea ushirikiano wa raia,mauaji ya waendesha pikipiki yalikuwa mengi sana kanda ya ziwa miaka btn 2008-2011 na yalimalizwa na waendesha pikipiki wenyewe.Wao ndio wanaokaa mitaani,wanawafahamu vibaka wote na wanawafahamu dealers wa used spare parts za pikipiki etc kitu walichofanya waendesha pikipiki wa kanda ya ziwa ilikuwa ni kuunda umoja wao against wezi wa pikipiki,walikuwa wanapeana taarifa wanapoona sura inayotia mashaka,wanasaidiana kufuatilia nyendo za watu mbalimbali,wanafuatilia pale mwenzao anapokodishwa na mtu asiye eleweka vizuri na pale mwenzao anapochelewa kurudi etc pia wame track na kukamata wezi mbali mbali na kuwakabidhi polisi,sasa kuandamana wakati wao wenyewe hawafanyi ulinzi shirikishi na baadhi yao ndio wanao chora wizi wa pikipiki ni wastage of time na kutafuta scape goats
Iwe iwavyo, yote haya yana mwisho. Mwisho wake hauko mbali, yawezekana ukawa kabla ya 2015. Uhakika wake ni 2015, tukiwa na katiba mpya. Duniani kote haki ilipatikana kwa gharama kubwa kama hiyo. Haikupatikana kirahisi.
Polisi kutawanya maandamano kwa madai hawakupewa taarifa sawa ni halali, lakini kwanini watumie risasi za moto waandamanaji walikuwa na silaha gani? kwanini RPC akimbilie madai waandamanaji wamepiga mawe ofisi za ccm, inaniudhi kauli hii. kwanini alete siasa? kwanini waue watu, ria wa nchi hiii?
Haya ndiyo maneno ingawa muda si mrefu utaambiwa unaombea vita ije.
Ndugu zangu, kutokana na jeshi la polisi jana kuua kwa "makusudi" wananchi waliokuwa wanaandamana kupinga mauaji ya wananchi yanayoendelea pasipo jeshi la polisi kuchukua hatua yoyote, huu ndio ukweli na sio maelezo ya RPC-Ruvuma MICHAEL KAMUHANDA alivyodanganya Taifa.
Mosi, RPC anasema kuwa maandamano yale yalichochewa na ushabiki wa kisiasa huku akidai waandamanaji walipiga mawe ofisi ya CCM. Ndugu zangu hapa RPC kadanganya, waandamaji wengi walikuwa madereva wa pikipiki (boda boda) ambao ndio waathirika wakubwa wa mauaji yale na sio CHADEMA, pili, kamanda anadai walifanya maandamano bila kuomba kibali, uzuzu mwingine wa RPC ni huu, hivi polisi ndo wanaolalamikiwa then utoke ukaombe kibali kwao(polisi) ili uende kwa RC kuwalalamikia polisi.
Kituko eee! Halafu RPC asiwe mbumbumbu wa sheria. Polisi hawaombwi kibali cha maandamano bali wanapewa taarifa ya muda, madhumuni na kutakiwa watoe ulinzi kwa waandamanaji. Mwisho RPC anataka ajifiche ili aonekane ameua ili kulinda CCM (watawala) dhidi ya CHADEMA ili asihojiwe na watawala kwa mauaji aliyofanya.
Mbunge wa songea mjini Dr.Emanuel Nchimbi (0754 033388) RPC-Ruvuma (0754 252415) . Said mwema(0754 705557). Je hawa ni watu au miungu wenye haki ya kuua?
hata kama walipiga mawe, wanataka waendee kupiga mawe ofic za cdm kwan wao ndo wanawamiliki polisi? kama walipigwa mawe ccm , wanastahili hayo kwa kuwa polisi wao wameshindwa kuzuia mauaji ya raia zaidi wanaongezea mauaji ya raiaPolisi kutawanya maandamano kwa madai hawakupewa taarifa sawa ni halali, lakini kwanini watumie risasi za moto waandamanaji walikuwa na silaha gani? kwanini RPC akimbilie madai waandamanaji wamepiga mawe ofisi za ccm, inaniudhi kauli hii. kwanini alete siasa? kwanini waue watu, ria wa nchi hiii?
Polisi wetu hawana risasi za plastic mpaka watumie za moto