Ndugu kwa hiyo
(a) kuchoma kituo cha police si ujanja = Lakini kuua Raia wasio na hatia ni Ujanja.
(b) maana hasara na kwetu sis walipa kodi = lakini kuua Raia wasio na hatia ni FAIDA KWETU WALIPA KODI
(C) Nasisitiza maandamano si kufanya uhalifu otherwise hayatakuwa na credibility = Kuua Raia wasio na hatia kuna Credibility hapo.
Yaani ndugu yangu sipati 😛hoto:😛hoto:😛hoto: hii.
Sijui na wewe ni mmoja wa hao FFU hapo Songea. Kama ndivyo waambie wenzio wanachofanya si jambo zuri. Elewa kuwa unaowaumiza pia wapo ndugu zako. Utajisikiaje ukirudi nyumbani jioni ukaambiwa baba / kaka/ / dada yako amekufa au kajeruhiwa katika fujo hizo?
TAFAKARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Wewe atashinda tena kwa hila hizo hizoKwani songea mjini kuna mbunge,aende kusulushisha kama sugu alivyofanya mbeya hana jeuri hiyo,kwa sababu anajua alishinada uchaguzi kwa hila na wanamtamani kweli 2015 wamuone nchimbi.
Tulianzisheni kama senegal
Vipi Chadema wapo huko? Hawakawii kusingiziwa!
ebwana tujuzeni mlio jirani ya tukio hapo songea.
you totally missed my point!
what I meant is, Ubaya haulipwi kwa ubaya, I do not support any killings whatsoever.
Uletaji wa taarifa wa namna hii na unataka watu wajadili sidhani kama unakubalika kwenye jukwaa makini kama hili.Wewe ndio mleta taarifa sasa unataka nani mwingine atoe taarifa? Sisi hatujui wewe ndio unajua sana unauliza kwetu ili iweje?
Uletaji wa taarifa wa namna hii na unataka watu wajadili sidhani kama unakubalika kwenye jukwaa makini kama hili.Wewe ndio mleta taarifa sasa unataka nani mwingine atoe taarifa? Sisi hatujui wewe ndio unajua sana unauliza kwetu ili iweje?
yaani wewe umejifungia ndani tena nyuma ya computer unasema tulianzisheni kama senegal, hebu kuwa wa kwanza wewe toka nje na upaze sauti, hapo hauta ona post yoyote humu, jf tutakawa barabarani wote, HEBU TUACHE UNAFK NA USHABIK. RIP wapambanaji wa kweli songea, ushindi unakuja.
nchi yetu hii...halafu utakuta kwenye tv zetu wanaonyesha taarabu na tamthiliya sasa hivi.wananchi wamechoma matairi mengi barabara zote zinazoingia,wananchi wamechachamaa hawaogopi polisi wala f.f.u na mabomu yao,ofisi ya ccm imebomolewa na baada ya polisi kuuwa raia ndo vurugu zimezidi watu wanatoka majumbani kwenda kuungana na wenzao,shule zimefungwa watoto wamerudishwa nyumbani,polisi pamoja na f.f.u wamezidiwa wanaomba usaidizi wa jeshi,mimi mwanangu hajaonekana naendelea kumtafuta,huo ndo utawala wa ccm,TANZANIA NI NCHI YA AMANI NA UTULIVU.huo ndo utulivu wanaousema?