Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,996
Hata wakati wa mapambano ya kuung'owa utawala wa Makaburi kulikuwepo na vibaraka kama wewe waliokuwa wanashirikiana na wazungu, na hata magerezani wote mpo kifungoni lakini kuna waliopewa vyeo bandia wanaitwa manyapara, sina zaidi cha kukueleza ila nakuombea afya njema na maisha marefu kwa Mungu wa Isaka na Yakobo ili ushuhudie Wazalendo tunavyofanya mapinduzi kwa amani na kulikombowa Taifa hili. siyo kosa lako mungu akusamehe.Chadema lazima muheshimu maamuzi ya mahakama hukumu ni sahihi nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria mahakama haiwezi kuacha kufuata sheria ili kuwafurahisha Chadema.