Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

Kwa style ya hukumu iliyotolewa leo ni dhahiri mahakama imetumika na watawala kwa masilahi yao ya kisiasa, hivyo wananchi wa Arusha kuandamana kwa lengo la kuonyesha hisia zao juu ya uonevu aliofanyiwa mbunge wao ni haki yao.
 
Mwaka huu watakula vinyesi vyao, hata wafanye miujiza gani AR is for CDM.
 
Si kila wakati mahakama hutoa haki. Hata hivyo kila mmoja wetu ana wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama.

Waliomchagua Lema walikuwa wana Arusha, hao pekee ndo wataamua kama Lema anastahili kuendelea kuwa mbunge wa Arusha mjini baada ya uchaguzi mdogo.
 
Kazi imeanza rasmi...
Movement for Change kazini!
NAMKUMBUKA SANA REGIA MTEMA!
regia-mtema.jpg
 
Wanaotakiwa kuandamani sidhani kama ni wakazi wa arusha bali members wa hii fani au proffession cause they know better,wananchi waandamane baada ya kuelimishwa kwanini si sahihi kisheria,
 
haki haiji kwa kuogopa kusema ukweli ni vema kama maandamano yapo watu wajitokeze kuonesha hisia zao kuwa maamuzi yaliyotolewa ni kandamizi.
 
Wasiwasi wangu ni kuwa Uchaguzi huu wa Arusha utaleta maafa. CCM hawatakuwali kushindwa tena na kutumia dola wakati wapiga kura nao hawatakubali na hawatataka kwenda mahakamani tena kama Tume ya uchaguzi ya CCM itamtangaza CCM kuwa kashinda kwa kutumia nguvu na kusingizia kuwa mbona Arumeru wao walishinda 2010 na kushindwa 2012 wakakubali CDM bnao wakubali. Ila watashindwa ku-prove kuwa Arumeru 2010 kulikuwa na mgombea tofauti na Arusha 2012 ambaye ni yule yule.

It is sad day kwa Mahakama kukubali kutiwa najisi na CCM.
 
Katika kile ambacho kinaonekana CCM walijua ni kitu gani kitatokea mahakamani leo( Lema atavuliwa ubunge).Jana walianza campeni rasmi kwa vibaraka wao TBC1 kuonyesha projects za barabara ambazo zinajengwa katikati ya mji wa Arusha kwa msada wa Benki ya Dunia, tuliona meya wa Arusha akitamba kwamba project hizo ni msada kutoka Benki ya Dunia na Serikali imechangia kidogo.

Maswali ya kujiuliza:Meya wa Arusha alikuwa wapi kufanya publicity hiyo kabla ya jana? au ndio CCM wanataka kutumia projects hizo za world bank kama mtaji wao wa kisiasa kuomba uruma kwa wananchi wa Arusha?

Si hatujali hatakama angetoa hela baba MWanaasha Au EL, chaguo letu ni CDM hata tukiweka gari la chame ndilo tutakalo pigia kura
 
Tunakusubiri kwa hamu mkapa uje Arusha.
Tutawagalagaza ccm mpaka msahau.
Mambo yatakuwa hivi.
Kata ya Elerai: ccm 2 cdm 450
kata ya sokon1:ccm 00 cdm 500
kata ya Sombetini:ccm 01 cdm 670
..................nk
jiandaeni nasi huku tunajiandaa mamaangu moja lazima nishuke Arusha.
 
Meya wa Arusha hafanyi kazi na mahakama. Jamani tuwe maskini wa mali lkn akili tunazo jibu lake unalo. labla mimi nikuulize swali kama CDM ikachukua nchi itafukuza majaji wote kisa tu walishawahi kufanya kazi wakati CCM iko madarakani? au ulishawahi kusikia kitu hiko duniani?
 
Hata kule kwetu majita mwisho kabisa Busekera ukisema ccm watakuuwa iweje A town Lema hapo rufaa ya wananchi ndo itaamua.
 
Ama kweli kifo kina ishara Nyingi Bado mnataka kupuuzwa tena.Jamani ukimwi hauna tiba wala kinga...........
Watanzania ni nafasi nyingine kuitapika ccm............
50 years tumefanya nini KATIKA HAYA mavazi.Chakula na maladhi?
haya maendeleo au uchumia tumbo
 
Hakuna jipya CCM itafanya hapo Arusha! tayari wameshalaumiana juu ya uchaguzi wa Arumeru! hivyo hatutarajii maelewano ndani yao yapatikane kwa kipindi cha mwezi mmoja! wao wasubiri kichapo kingine!
 
Back
Top Bottom