GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Arusha hata akisimamishwa Kikwete hapiti.
Kikwete mashine nyingine ww, na wala ubunge sio hadhi yake, yeye ni urais tu na alimgaragaza baba yenu Slaa mpaka leo hana hamu itakuja kuwa Lema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha hata akisimamishwa Kikwete hapiti.
mahakama ipo kwa kazi hy mlitaka ifanyaje? Cdm vp hamjui sheria? MtMsitupote
Chadema lazima muheshimu maamuzi ya mahakama hukumu ni sahihi nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria mahakama haiwezi kuacha kufuata sheria ili kuwafurahisha Chadema.
HA HA HAAA MKAPAAAA ''''' Eti sijawahi kumsikia VICENT NYERERE kwenye familia ama ukoo wa NYERERE
Aibu yetu aibu yake mkapaaa?
Kama umetumwa mwambie aliyekutuma bado HATUJALALA na wala HATULALI hadi KITAKAPOELEWEKA 2015 tukichukua nchi, kama kwelil LUSINDE alikuwa muhimu kumleta kuporomosha matusi ARUMERU, KwetU LEMA ni lulu.......nyamba....fu.....
cdm = chama cha demons na maandamano!!cdm inamuaibisha shetani kwa mara nyingine arusha mjini.
Wao wana pesa, sisi tuna mungu.
haingii akili hata kidogo
Wanasheria mpoooooo!! Kama hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Lema sio sahihi basi tungefurahi kama nyie wanasheria ndo mngeandamana ili jaji alietoa hii hukumu nae ajifeel shame na kikubwa ni katika kutaka muhimili huu wa sheria kuwa huru pasipo kuingiliwa. Vyema mawakili wooote kama mmeona hukumu iliyotolewa imekiuka vifungu vya sheria basi ingieni barabarani ili ujumbe uifikie serikali na itakuwa fundisho kwa wakubwa kucheza na mahakama.
CCM wanazidi kuwachafua watu wa Arusha kutumia vyombo vyake (Mahakama) kuwanyima wana ARUSHA haki zao za msingi!!!! Kuwa na mbunge ambaye ni chaguo lao, walijaribu kutumia nguvu na kuiba kura ikashindikana sasa wanatumia mahakama kwa shinikizo la mtu yule yule EL, kutumia nguvu ya pesa!!!! Watanzania tumechoka kuonewa, kudhulumiwa, kudhalilishwa, kuibiwa na kufisadiwa, uchaguzi urudiwe tutoe mfano, tuwabwage tena kwenye barrot box!!!!!CDM VIVA Mapambano bado yanaendelea!!!!Tunaongeza list ya dhambi. CCM ni dhambi kubwa sana
cdm = chama cha demons na maandamano!!
CCM wanazidi kuwachafua watu wa Arusha kutumia vyombo vyake (Mahakama) kuwanyima wana ARUSHA haki zao za msingi!!!! Kuwa na mbunge ambaye ni chaguo lao, walijaribu kutumia nguvu na kuiba kura ikashindikana sasa wanatumia mahakama kwa shinikizo la mtu yule yule EL, kutumia nguvu ya pesa!!!! Watanzania tumechoka kuonewa, kudhulumiwa, kudhalilishwa, kuibiwa na kufisadiwa, uchaguzi urudiwe tutoe mfano, tuwabwage tena kwenye barrot box!!!!!CDM VIVA Mapambano bado yanaendelea!!!!
kUGARAGAZA KWA KUIBA KURA HUONI AIBU KUONGEA UOZOOOOOO WAKO KAKOJOE ULALEKikwete mashine nyingine ww, na wala ubunge sio hadhi yake, yeye ni urais tu na alimgaragaza baba yenu Slaa mpaka leo hana hamu itakuja kuwa Lema
Mkuu unauliza majibu jirani zetu Kenya kwa katiba mpya walitangaziwa kazi wakaomba na wakafanyiwa vetting na tume maalumu ya judicial commission waliopita ndio wapo kazini, mamluki kama huyo wako kazi hamna wamerudi mitaani!!!!Meya wa Arusha hafanyi kazi na mahakama. Jamani tuwe maskini wa mali lkn akili tunazo jibu lake unalo. labla mimi nikuulize swali kama CDM ikachukua nchi itafukuza majaji wote kisa tu walishawahi kufanya kazi wakati CCM iko madarakani? au ulishawahi kusikia kitu hiko duniani?