Wewe ni mzigoWanaotakiwa kuandamani sidhani kama ni wakazi wa arusha bali members wa hii fani au proffession cause they know better,wananchi waandamane baada ya kuelimishwa kwanini si sahihi kisheria,
!@$#@$%#%#^%$^&%&^*&^&:shut-mouth:mahakama ipo kwa kazi hy mlitaka ifanyaje? Cdm vp hamjui sheria? MtMsitupote
Mwenye kichwa ya nazi koroma?Arusha hata akisimamishwa Kikwete hapiti.
Katika kile ambacho kinaonekana CCM walijua ni kitu gani kitatokea mahakamani leo( Lema atavuliwa ubunge).Jana walianza campeni rasmi kwa vibaraka wao TBC1 kuonyesha projects za barabara ambazo zinajengwa katikati ya mji wa Arusha kwa msada wa Benki ya Dunia, tuliona meya wa Arusha akitamba kwamba project hizo ni msada kutoka Benki ya Dunia na Serikali imechangia kidogo.
Maswali ya kujiuliza:Meya wa Arusha alikuwa wapi kufanya publicity hiyo kabla ya jana? au ndio CCM wanataka kutumia projects hizo za world bank kama mtaji wao wa kisiasa kuomba uruma kwa wananchi wa Arusha?
Nimejaribu kupitia mitandao mingi ya kijamii leo hii, nilichogunduwa ni kwamba katika watumiaji 100 basi CCM supporter hawazidi 3!!......kama kungekuwa na taasisi huru za utafiti nchi hii wangeambiwa kabisa kwamba ni rahisi kwenda New city kwa mguu kutokea Dar kuliko kwa CCM kulipora jimbo la Arusha. ( Maana kwenye sanduku la kura CCM haichaguliki)
wapo uchi pale arumeru sasa wanataka kuwa uchi na A town karibu tena Mkapa na watu wako tunakusubiri kwa hamu
Chadema lazima muheshimu maamuzi ya mahakama hukumu ni sahihi nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria mahakama haiwezi kuacha kufuata sheria ili kuwafurahisha Chadema.