Mkuu hivi unajua maandamano? makubwa halafu ili neno Breaking News linatumika vibaya.
ni nani kakuambia arusha jiji lina watu zaidi ya million 3?
acha uwongo
Maandamano makubwa, idadi ni watu 5000, tena wa kata 2 tu kwenye jiji lenye zaidi ya wananchi milion 3
tuko impala
Ngoja wakale virungu vya hao jamaaTunavyozungumza wananchi wa kata za moshono na mlangarini wapatao 5000 Wanaandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa arusha kufuatia kunyanga'nywa ardhi yao na JWTZ bila fidia kama walivyoafikiana awali.polisi hawana taarifa ila ndo wanatamalaki kufunga mandela road moshono kuelekea kijenge..updates
Si bure, naona leo Nape kaminya posho. Au ulikuwa wa Sarakikya mkuu? Au hiyo kitu leo Mwigulu amegoma ku-take? Maana leo unazungumza vitu kama unavyoviona! Hutumii tena ile sehemu nyengine kuona mambo!Polisi wamewashauri wakae suye rc aje kuzungumza nao wamekataa,ila naskia wanainteligensia wamepiga kambi kijenge
...go to facebook...weka picha mkuu
Mkuu hivi unajua maandamano? makubwa halafu ili neno Breaking News linatumika vibaya.
Maandamano makubwa, idadi ni watu 5000, tena wa kata 2 tu kwenye jiji lenye zaidi ya wananchi milion 3