Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
CCM wameshindwa waondoke. wanataka nini mbwa hawa?
Khaa, usiite wenzio mbwa bhana.
Ila umenchekesha si vidogo
CCM wameshindwa waondoke. wanataka nini mbwa hawa?
CCM wameshindwa waondoke. wanataka nini mbwa hawa?
nday, November 9, 2015
TAARIFA YA MAANDAMANO
![]()
Assalamu alaykum,
Kwa Niaba ya Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwaarifu Watu wote watakaonafasika, kuhudhuria kwenye Maandamano yatakayofanyika 10 Downing St, London SW1A 2AA kuanzia saa nne asubuhi siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2015.
Lengo ni kutoa Shukran kwa Waziri Mkuu na Serikali yake ya Uengereza kuona haki inatendeka kwa Wananchi wa Zanzibar juu ya uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Kibali kimetolewa na Parliamentary & Diplomatic Protection Command wakishirikiana na Scotland Yard Special Events.
Ahsanteni
Mwenyekiti ZAWA UK
Hassan M Khamis
KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI at 11:17 PM

Bold sijakuelewa unataka waandamane kupinga mashekhe kunyanyaswa au mnataka matokeo ya uchaguzi yatangazwe?[h=2]nday, November 9, 2015[/h] [h=3]TAARIFA YA MAANDAMANO[/h]
![]()
Assalamu alaykum,
Kwa Niaba ya Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwaarifu Watu wote watakaonafasika, kuhudhuria kwenye Maandamano yatakayofanyika 10 Downing St, London SW1A 2AA kuanzia saa nne asubuhi siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2015.
Lengo ni kutoa Shukran kwa Waziri Mkuu na Serikali yake ya Uengereza kuona haki inatendeka kwa Wananchi wa Zanzibar juu ya uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Kibali kimetolewa na Parliamentary & Diplomatic Protection Command wakishirikiana na Scotland Yard Special Events.
Ahsanteni
Mwenyekiti ZAWA UK
Hassan M Khamis
[h=1]KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.[/h]
FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI at 11:17 PM
Sijatisha mtu na wala sina uwezo wa kutisha mtu katika maisha yake.Mwingereza hana muda wa kukamata watu,akishakupa status ya kuishi hayo mambo mengine hana muda nayo-usiwatishe watu
Kazi iliyompekea CHADEMA ameimaliza!Yuko wapi Mabele Marando
Hiyo statement iliandikwa kwa bold ni upuuzi mtupu. vipi kuhusu sirya na palestine wao Mungu hatowailiza ? kama yes basi jua ata huyo Seif wako atauliza ukiwamo na wewe na lichama lako la kibaguzi shwaan.
Huku hamuandamani kupinga matokeo ya Lubuva?
dah, tusichezee aman tuliyonayo.
Halafu hiyo signature yako hiyoooo.......
Wanabodi. Poleni na majukumu. Katika pita pita yangu nimekutana na habari hii.
![]()
Mkuu,unawaelewa hao Scotland Yard?Umesoma hoja na kuielewa?
Elimu
Elimu
Elimu