Maandamano London: Another new episode

Maandamano London: Another new episode

Kova si alipiga marufuku kufanya maandamano au mikusanyiko ya aina yoyote kwa sasa? Ana taarifa za hayo maandamano?
 
Watu wanasema Elimu, lakini hawawezi kutambua kwamba Huyo Came Ron haweze kufanya chochote, hapo ndio wameingizwa mkenge. UK hata siku moja haiwezi kufanya chochote kuhusiana na sheria za Tanzania au kinachotokea Tanzania. Waingereza wenyewe na huyo Cameron mikono yao imejaa matatizo. Mark my word hakuna kitu hapo ni ujuha tu, wengi wa watakaoandamana majority ni wazenji ambao wamebaki kupokea Universal Benefits wakati walitakiwa kutumia muda wao kujiendeleza kielimu.
 
Behind the scenes Mwingereza ana influence mambo mengi sana TAnzania,wewe utakuwa ni layman wa kutupwa kiasi kwamba you can not tell or see the difference nchi inavyominywa na kutekeleza maagizo ya wenye dunia
 
Sasa nyie mnajulikana kama wakimbizi wa somalia hata hao wazungu watawashangaa, vipi msomali anaandamana kwaajili ya zanzibar. Nyie kama ni mamwamba njoeni zenji muandamane.
 
Behind the scenes Mwingereza ana influence mambo mengi sana TAnzania,wewe utakuwa ni layman wa kutupwa kiasi kwamba you can not tell or see the difference nchi inavyominywa na kutekeleza maagizo ya wenye dunia

Ingekuwa Kenya ningekuelewa.
 
Wazanzibari na Watanganyika wengi walioko Uingereza wamejilipua. Kwa sasa wanaishi kama Wasomali, Wasudani na Waeritrea.

Wadanganyeni waandamane ili wakakutane na mikono ya Maafisa wa border force kwenye underground entry, buses and demonstration!

Kuna hatred kubwa sana kama ya Waunguja na Wapemba kiasi kwamba wamechomeana kwenye ofisi za uhamiaji.

Kwa faida ya maisha yao, kama kuna mtu ana matatizo kuhusu status ya uhamiaji ni vizuri akaepuka maandamano hayo, otherwise, atajikuta kwenye matatizo.

Ninatoa ushauri kwa vile ninawapenda Watanzania wenzangu.

Don't hang the messenger!
Sheria za Uingereza ni tofauti na za Jecha hawakurupuki kukamata hovyo, huko waandamanaji hupewa heshima yao wanapewa full escort na polisi na maandamano yatapokelewa.
 
Mwingereza hana muda wa kukamata watu,akishakupa status ya kuishi hayo mambo mengine hana muda nayo-usiwatishe watu
Yeye anafikiri wanayofanya polisi wa micheweni ni sawa na polisi wa London.

Hadi polisi wa kule akukamate lazima awe na full info juu yako hawakamati hovyo hovyo, kwa sababu endapo atakukamata na ukakutwa huna tatizo huyo polisi atakuwa matatani.
 
Back
Top Bottom