Nawapongeza Wazanzibari waliopo Uingereza walioandaa Maandamano yatakayofanyika 10 Downing St, London SW1A 2AA kuanzia saa nne asubuhi siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2015.
Lengo likiwa ni kutoa Shukran kwa Waziri Mkuu na Serikali yake ya Uengereza kuona haki inatendeka kwa Wananchi wa Zanzibar juu ya uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Kibali kimetolewa na Parliamentary & Diplomatic Protection Command wakishirikiana na Scotland Yard Special Events.
Natoa Rai kwa watanzania wote kwa ujummla waliopo nje ya nchi wafanye hivi kama sehemu ya mchango wao wa kukuza demokrasia na kuhakikisha haki ya Wazanzibari inalindwa
Jumuiya ya kimataifa ina mchango mkubwa sana katika kuokoa hali ya kisiasa Zanzibar
Kwa huku nyumbani tutaendelea kushirikiana kuhakikisha Sheria na katiba ya zanzibar inalindwa na haki ya kidemokrasia ya wananchi visiwani haipotei
Aluta continua,Victory Ascerta....!
Ben Saanane
Tangu uijue cyber crime siku hizi hata mmeo akichelewa kurudi unamtishia kumshitaki kwa cyber crime.hivi kwa uzi huu mleta mada CYBER CRIME UKITIWA NGUVUNI UTAMLAUMU MTU KWELI USIDANGANYIKE NA KYBOD KUWA ET HAUTAMBULIKI
cc
yereco nyerere
Kwa hiyo we Ben Saanane , umekuwa ndio msemaji wa cuf! Watu mkiishiwa jambo la kufanya mnakuwa na viherehere kama wakina mama wenye kupenda kusutwa. Ya kwenu yamewashinda mnakurupuka na ya wenzenu.
Hayo maswali siku ya kiama hayatachagua wana ccm, ukawa, masheikh, waliopiga kura, waliotetea waliokamatwa, n.k kila nafsi itakumbana na maswali kwa mujibu wa matendo yake katika kutimiza malengo ya kuumbwa kwake. Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa yote ya dhahiri na ya siri[h=2]nday, November 9, 2015[/h] [h=3]TAARIFA YA MAANDAMANO[/h]
![]()
Assalamu alaykum,
Kwa Niaba ya Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwaarifu Watu wote watakaonafasika, kuhudhuria kwenye Maandamano yatakayofanyika 10 Downing St, London SW1A 2AA kuanzia saa nne asubuhi siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2015.
Lengo ni kutoa Shukran kwa Waziri Mkuu na Serikali yake ya Uengereza kuona haki inatendeka kwa Wananchi wa Zanzibar juu ya uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Kibali kimetolewa na Parliamentary & Diplomatic Protection Command wakishirikiana na Scotland Yard Special Events.
Ahsanteni
Mwenyekiti ZAWA UK
Hassan M Khamis
[h=1]KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.[/h]
FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI at 11:17 PM
dah, tusichezee aman tuliyonayo.
Wazanzibari na Watanganyika wengi walioko Uingereza wamejilipua. Kwa sasa wanaishi kama Wasomali, Wasudani na Waeritrea.
Wadanganyeni waandamane ili wakakutane na mikono ya Maafisa wa border force kwenye underground entry, buses and demonstration!
Kuna hatred kubwa sana kama ya Waunguja na Wapemba kiasi kwamba wamechomeana kwenye ofisi za uhamiaji.
Kwa faida ya maisha yao, kama kuna mtu ana matatizo kuhusu status ya uhamiaji ni vizuri akaepuka maandamano hayo, otherwise, atajikuta kwenye matatizo.
Ninatoa ushauri kwa vile ninawapenda Watanzania wenzangu.
Don't hang the messenger!
Its not the first time kwa hawa wapenda waarabu kujifanya wanauchungu na Zanzibar bytheway impact ya hayo makobeano ni kama susumizi kwenye msafara wa TEMBO. HAPA KAzi TU
dah, tusichezee aman tuliyonayo.
Teh Teh kwa hiyo unachochea maandamo nyuma ya kibodi?
Wazanzibari na Watanganyika wengi walioko Uingereza wamejilipua. Kwa sasa wanaishi kama Wasomali, Wasudani na Waeritrea.
Wadanganyeni waandamane ili wakakutane na mikono ya Maafisa wa border force kwenye underground entry, buses and demonstration!
Kuna hatred kubwa sana kama ya Waunguja na Wapemba kiasi kwamba wamechomeana kwenye ofisi za uhamiaji.
Kwa faida ya maisha yao, kama kuna mtu ana matatizo kuhusu status ya uhamiaji ni vizuri akaepuka maandamano hayo, otherwise, atajikuta kwenye matatizo.
Ninatoa ushauri kwa vile ninawapenda Watanzania wenzangu.
Don't hang the messenger!
Mkuu,unawaelewa hao Scotland Yard?Umesoma hoja na kuielewa?
Elimu
Elimu
Elimu
Mwana upo? Nakusalimu.
Eti Napa kazi ? Bila ya bishahara ya walimu ?
Huku hamuandamani kupinga matokeo ya Lubuva?