Maandamano London: Another new episode

Maandamano London: Another new episode

Wanabodi. Poleni na majukumu. Katika pita pita yangu nimekutana na habari hii.

attachment.php

Andaneni tu mkila UB40 ya bure.
Mkirudi hapa Tz mtakuta #HapaKaziTu
 
Nimejikuta nacheka sana kwa ukweli huu.

Alafu wanatoa onyo kwa wana ccm na kumtaja Mungu, hapo wameenda mbali.

Nao wakiamua kuwachochea kwa hao hao wa Scotland yard maana kiuraia kweli wengi wamedanganya ni watakomaje.

Simu moja boda kontrol inawamaliza.

Wanajisahau kwa kutaka ubabe na chenji ya chama watumiwe wale, tumbo kwanza.

Hata maandamano ya wapelestine Watanzania tunayaunga mkono, kwani kufanya maandamano lazima uwe mzanzibar? kama tumejiripua wakimbizi basi tutajiwasha kwa maandamano 😉
 
Hata maandamano ya wapelestine Watanzania tunayaunga mkono, kwani kufanya maandamano lazima uwe mzanzibar? kama tumejiripua wakimbizi basi tutajiwasha kwa maandamano 😉

Ni maisha yako na uamuzi wako. Ila msianze kuponda wafuasi wa vyama vingine.
 
11219663_10205322714691282_4701558228154669459_n.jpg

Kamati kuu ya Uongozi wa ZAWAUK iliomaliza kikao chake tarehe 08/11/2015 kwenye Ofisi zake zilizopo Manor park huko East London. Moja katika maazimio yaliofikiwa ni kuandaa Maandamano yanayohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.

Hawa wakimbizi acha wajifurahishe tu. iwapo wanaona posho ya ukimbizi haiwatoshi wajilipue kwa mara nyengine warudi walikotoka manake wengi wanatambulika kama wasomali huko waliko
 
hii nchii hiii. wataandamana lakini mwishowe uchaguzi utarudiwa na ile kamati ya ufundi iliyokuwepo bara inakwenda kufanya "KAZI" yao hatimaye matokeo yanatoka Kijani imeshinda kwa 78%.
 
11219663_10205322714691282_4701558228154669459_n.jpg

Kamati kuu ya Uongozi wa ZAWAUK iliomaliza kikao chake tarehe 08/11/2015 kwenye Ofisi zake zilizopo Manor park huko East London. Moja katika maazimio yaliofikiwa ni kuandaa Maandamano yanayohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.

Wapo Wingereza kweli hawa? Mbona wanaonekana kama hawajapata breakfast?
 
Back
Top Bottom