zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,925
- 36,890
Nini kimebadilika? Chama kile kile, sera zile zile!! Serikali ile ile.ni Mjinga tu ndiye anaweza kusema shambulio la Venezuela ambako Rais wa nchi alichukuliwa kibabe yeye na Mke wake atasema ni Failed!!
Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?Iran ni ya wairan
Nalog off Z
Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?Iran ni ya wairan
Nalog off Z
W gaidi Ayatollah ameyazima maandamano bro kwa kuua watu maelfuSafari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?
Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
Unaumiq ikiwa Wapi? Mi sijasema Iran ni ya wabongo,Bali nimesema Iran ni ya wairan Kwa kuwaunga mkono wote wanaokataa kuingiliwa nchi yao na hao mashoga wa magharibi,sote tunajua kuwa lengo lá hayo maandamano ni regime change,sasa ikiwa inatakiwa wasaliti wote waliwe vichwa vyao Kwa ajili ya Taifa,ndio maana nikasema Iran ni ya wairan ❤️, Venezuela ni ya wavenezuela ❤️, Colombia ni ya wacolombia❤️Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?
Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
Ngonjera za namna hii tumezisikia sana wala hazituumizi kichwa,mlisema hayo 29 Oct,mnasema kwa Iran na mtasema sana Ila uongozi Huo hautong'oka kwasababu ya laana ya mashoga wa magharibi.Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?
Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
Kwa taarifa yako wewe ndiye shoga na Iran usiku wa leo lazima wapigwe leo watashambuliwe.Unaumiq ikiwa Wapi? Mi sijasema Iran ni ya wabongo,Bali nimesema Iran ni ya wairan Kwa kuwaunga mkono wote wanaokataa kuingiliwa nchi yao na hao mashoga wa magharibi,sote tunajua kuwa lengo lá hayo maandamano ni regime change,sasa ikiwa inatakiwa wasaliti wote waliwe vichwa vyao Kwa ajili ya Taifa,ndio maana nikasema Iran ni ya wairan ❤️, Venezuela ni ya wavenezuela ❤️, Colombia ni ya wacolombia❤️
Greenland ni ya wagreenland ❤️
Tanzania kwanza ❤️
Wasaliti wote waliwe vichwa vyao.
Nalog off Z
Hahahha wananchi gani hao? Nimekutag ule uzi uone nyomi ya khamenei.Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?
Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
Hahahha wananchi gani hao? Nimekutag ule uzi uone nyomi ya khamenei.
Kama unaona aibu link hii hapa ujionee mapicha ya leo
Iran holds pro-government rally as regime seeks to downplay protests
Speaker of parliament says country fighting four-front war after minister claims unrest has ‘come under total control’www.theguardian.com
Theocratic state of iran and sharia leadership of Ayatollah is out time. Heightened suspicion of iran and qatar conflict is rising.Iran isikubali tena kurudi kwenye utawala wa kiislam, wakimfurusha ayatollah wabadili jina na bendera kabisa, waite jamhuri ya kidemokrasia ya iran, neno islamic liondoke kabisa, au waite persia litasaundi vizuri
Wewe mlokole kimba, umeenda kijificha uvungini sasaKwenye maandamano ya Wananchi huko Iran kumeonekana Bendera ya Israel waandamanaji wanatamba nayo sasa Wafuga Midevu na Majini gallow bird Adiosamigo kahtaan na Bwana wao Ritz sasa hivi wakiona Bendera ya Israel wataanza kuharisha ovyo ovyo!!!
pumbavu wewe unaleta upupu uliotengenezwa na mabwana zako wayahudiZaidi ya waandamanaji 10,000 wameuwawa huko Iran.
Angalia watu wakiangalia maiti za ndugu zao ili wazichukue kwenda kuzika
huu sasa ndio uchoko na umaku wa trump, ameshajua Iran ni kisiki hawawezi sasa anaenda kuonea wale anaowaona ni dhaifu
W gaidi Ayatollah ameyazima maandamano bro kwa kuua watu maelfu
Mungu amlaani huyu mzew
Mbung'o wewe unaumwa malale ndio umeamka na kuokota upupu wa wiki 2 zilizopita,