Maana yake huwa ni nini?

Mwenyewe umeshajibu kuwa ni defensive mechanism. Mtu kuwa mkali anapoulizwa mara tu akoseapo ni kukutia hofu usiendelee kumuuliza lakini pia huu ni ubabe na roho ngumu
 
Sio bure inaonesha umefurukuta kutaka kuingilia serikali ya mme wako,sasa na yeye hataki mwanamke ampande kichwani hivyo nakushauri uwe mpole na umuombe msamaha sababu kama anakula nje huoni anakupunguzia kazi?
 
Narudi sasa kinachoniweka nini wakati cheo changu nishakijua kwake,unajua samahani ni neno duchu sana lakini kwa wenye Ego wanaona kama umewashusha thamani...

Hasara ya kuondoka ni kwamba jamaa atarudi kukunembeleza baada ya miezi miwili wakati ambao ashafanya yake kwa uhuru zaidi na wewe utakubali kurudi
 
kuomba msamaha ni neno la kinafki silitumii hata kwa kudanganya na sina muda wa kulisikiliza ni unafki

kusema "samahani/nimekosea" kunahitaji ujasiri,unaeza mkazia mtu unazunguka aelewe umeomba samahani ila hutaki kusema neno lenyewe!.
 
hutoweza kunielewa mpaka utakapojielewa kwanza,,, coz kukomaa baada sijui umesema kufumwa....ndo nakwambia ni kwamba mtu anakulazimisha uamini kwamba alichokifanya kwake ni kawaida.....so uamue mwenyewe
Ngoja nitumie busara za lowasa..... Nakaa kimya
 
Sio bure inaonesha umefurukuta kutaka kuingilia serikali ya mme wako,sasa na yeye hataki mwanamke ampande kichwani hivyo nakushauri uwe mpole na umuombe msamaha sababu kama anakula nje huoni anakupunguzia kazi?
Sipendi mme wangu azungumziwe..... Karibu tena
 
Mkuu Evelyn Salt kama ni kombora basi hili limegonga pentagon, hii ndio hasa michezo yangu lakini kwa nini upekue simu yangu at the first place?!!! Hahahahah najua its unfair but hamna namna ntakumaindi tu maana kuwa mpole haijawahi kusaidia.
Watu mmekariri sana teh hivi kujua kitu ni lazma simu ishikwe? Hauwezi letewa habari na ushahidi mezani???
 
Sasa Evelyn ungeweka wazi kitmbo kuwa umeolewa,mimi nimesema kiutani tu kumbe ni kweli una mme khaa,sasa siku zote hizi nakuimbisha kiaina wala husemi?
Haya basi nmekufahamisha, niseme mie mme wangu hapana
 
Watu mmekariri sana teh hivi kujua kitu ni lazma simu ishikwe? Hauwezi letewa habari na ushahidi mezani???
obvious utakuwa umeona hivyo vitu kwenye simu, huwezi kumletea mmeo habari za kimbeya halafu akawa upande wako hata kama ni kweli Evelyn Salt
 
Nikifanya hivo maana nna uhakika nimekosea kweli na sitaki kukupa nafasi ili utoe ushahidi wako maana wanawake tafsiri zenu jinsi mlivyo ili uonekane we ni nani basi ni hapo nitakapo kupa nafasi ya kubishana na ukini shinda ina maana mjinga ni mimi,Ndio maana nnakausha au natafuta sababu nzito nihakikishe umekaa kimya kabisa.
 
Wanaume wanapenda ubabe, yaani ile ya mimi mwanaume bwana, kwaiyo lolote atakalofanya yeye mwana ume na anajihalalishia kuwa ni haki yake kufanya, na ndio maana wanatuletea changamoto sana
 
Kweli kbs everlyn salt, Unamuuliza mume wako eti unatembea na house girl? Huwa unategemea kujibiwa nn?
Kuna vinguchiro vingine tunapita kwa zarula Tu, ikitokea umejua kaa kimya!
Wewe ukijua mkeo anafwanywa utakaa kimya?
 
Hii isikupe shida,tafuta wataalam wa ufugaji
wa aina zote za wanyama,angalia uwiano wa jinsia
ukipata majibu utagundua ni kwa nini jinsia fulani huwa wananuna
wanapoulizwa maswali yahusuyo.....
Ntakua Tarzan teh
 
Sidhani kama kuna mahali nimeandika mtu aombe msamaha, kuomba msamaha sio kitu cha kuambiwa omba kama hukufunzwa kusema samahani hutakaa useme samahani
Nnachosema mie why ukasirike ilhali wewe ndo umekosa? Okay uliemkosea kishakusamehe kabla hata huja sema samahani sasa kwanini uendelee kufura? Si utaahira huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…