Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,638
- 2,817
Kwani vp mkuuJamani hili neno "MKUU" huwa linanifurahisha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linapotumiwa na wana jf, mara kwa mara watu wakitoa comment au kuandika uzi lazima atupie neno mkuu, kwa kweli nilkitaka kujua hili neno nani kalianzisha wakuu. lakini pia linatakiwa tuliweke katika utaratibu wa kidiscipline kama tunavotumia shikamoo na salamu nyingine. neno mkuu ni neno tamu sana