Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

Mkuu kwani Mkuu lina tatizo gani au kuitwa Mkuu hupendi?, mbona neno Mkuu zuri tu linashabihiana na jinsia zote Mkuu so me nashauri lizoee tu Mkuu...😀😀
 
usije ukafananisha na ile Mkuu ya kule Rombo

BTW MKUU, hili neno wamelizoea sana..ni wachache sana wanaotumia maneno kama Mdau..ndugu..kaka..dada...msela na kadhalika..

Nadhani umenielewa mkuu
 
Mkuu Kachangamtoto,
Inawezekana neno Mkuu linatokana na wadau wengi wa Jamiiforums ama ni "walinzi wa Taifa" au walipitia ktk vyombo vya ulinzi na usalama au waliishi ktk makambi na maghorofa ya vyombo vya ulinzi au jamaa ndugu walezi wazazi walitumikia vyombo vya serikali kama watumishi na kulisikia neno Mkuu ktk mazungumzo au mawasiliano.
 
naona wakuu mnajadili vitu adhim ila aliyeanzisha uzi anapenda kuenda na wakat na mtu anayeenda na wakat maranying anakosa msimamo na hujikuta akiendesha na wakati na kupelekwa na mihemko na kelele za jmii inayomzunguka napenda hili neno napenda jins lisivyobadiklika raha sana
 
wanajamii. forum wanapenda kutumia neno mkuu sijui ndo formula ya kuishi humu au....
... maana kila mtu ni mkuu.. hata mimi ninayeandika ninaitwa mkuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom