Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,828
Naomba msaada magreat Thinker humu ndani. Hili neno linakuwa kasi ya ajabu hapa kwetu sehemu mbalimbali.

Naomba mnisaidie nilitumie wapi, kwa watu aina gani na jinsia gani?
 
Huku tunaitanaga Mkuu kama njia tu ya kuheshimiana na appreciation ya kila mmoja.
Pili,ile humjui huyu ni nani na wa umri gani inabidi tu umuite Mkuu kumpa heshima yake.
Ni jina ambalo linaweza kutumika kwa mdogo au mkubwa.
Tatu,huku ni kwa ma-Great thinkers na tunafanya mambo mazito hivyo kuitwa Mkuu ni cheo tu ya heshima.

Nadhani umenielewa kidogo mkuu!

Pia kuna uzi ulishaletwa huku zamani! Nikiupata nitakutag uusome. Lakini moods wanaweza kuunganisha na wako!

NB; Mimi nimeelezea kwa muktadha wa humu ndani.
 
Y
Huku tunaitanaga Mkuu kama njia tu ya kuheshimiana na appreciation ya kila mmoja.
Pili,ile humjui huyu ni nani na wa umri gani inabidi tu umuite Mkuu kumpa heshima yake.
Ninjina ambalo linaweza kutumika kwa mdogo au mkubwa.
Tatu,huku ni kwa ma-Great thinkers na tunafanya mambo mazito hivyo kuitwa Mkuu ni cheo tu ya heshima.

Nadhani umenielewa kidogo mkuu!

Pili kuna uzi ulishaletwa huku zamani! Nikiuoata nutakutag uusome. Lakini moods wanaweza kuunganisha na wako!

NB; Mimi nimeelezea kwa muktadha wa humu ndani.
You said it all
 
Naomba msaada magreat Thinker humu ndani....Hili neno linakuwa kasi ya ajabu hapa kwetu sehemu mbalimbali>Naomba mnisaidie nilitumie wapi,kwa watu aina gani na jinsia gani?
Ni heshima tu kiongozi.
 
Ila kwa hii jinsia nyingine hili neno! Ah..Halikuji kabisaaaaa.
 
Hapa JF neno "mkuu" limekua likitumika kwa muda mrefu kama respect, vipi wataalam wa lugha tupeni neno lingine tutumie, hili tumelichoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom