At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,566
- 3,642
Nimekuelewa Mkuu
Mkuu kwan hoja yako ya msingi ni ipi? cjakuelewa mkuuwanajamii. forum wanapenda kutumia neno mkuu sijui ndo formula ya kuishi humu au....
... maana kila mtu ni mkuu.. hata mimi ninayeandika ninaitwa mkuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ila mkuu...unasemaje kuhusu neno mkuu limekaa kiheshma zaid bila ubaguz...et mkuu!?Ni kweli mkuu
Mkuu humu hatufamiani kwahiyo hatuwezi kuchukuliana poa. Lazima heshima itamalaki mkuu.Jamani hili neno "MKUU" huwa linanifurahisha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linapotumiwa na wana jf, mara kwa mara watu wakitoa comment au kuandika uzi lazima atupie neno mkuu, kwa kweli nilkitaka kujua hili neno nani kalianzisha wakuu. lakini pia linatakiwa tuliweke katika utaratibu wa kidiscipline kama tunavotumia shikamoo na salamu nyingine. neno mkuu ni neno tamu sana
NIMEKUELEWA MKUU 😂Mkuu humu hatufamiani kwahiyo hatuwezi kuchukuliana poa. Lazima heshima itamalaki mkuu.