Ipi ni machines ya ndoto yako

Ipi ni machines ya ndoto yako

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
885
Reaction score
2,954
Ipo hivi kama ni mtafutaji na mpamabanaji mtaani Kuna vitu hukusaidia kwenye mapambano navyo ni kama machines nk, na ili upige hatua kwenye maisha lazima ukubali kuendana na technologia hivyo kumiliki machines ni sehemu ya maisha.

Zipo machines ambazo ni ndoto Kwa wengine na wengine wanamiliki na zimewasadia Sana kwenye maisha Yao.so tuambie Ili tujifunze na sisi tuone fursa kwenye hizo machines.tuambie ni machines gani unamiliki na nini kilifanya utafte hiyo machine au ni machine gan umeiona Kwa mtu na wewe unatamani uimiliki,.

Tuambie ni machines gani ambazo hutamani Wala huna mpango wa kumiliki kabisa baada ya kuziona kwa wengine. , Mfano Mimi machines ya kusaga na kukoboa mahindi siitaki kabisa , pia tuambie ni technologia gani ungetaamani uitumie kwenye mishemishe zako

Mimi binafsi namilikia machines hizi, 1.pampu za umwagiliaji hizi msaada mkubwa ni kwenye kilimo changu Cha vaazi 2. Namilikia pikipiki Pamoja na risk zake Mimi namiliki pikipiki aina ya Yamaha, sijutii 3.namliki machines za kuafyatulia tofali za block 4. Namiliki Lori kazaa, machine ninazotamani Kwa Sasa ni 1.machines ya kupasua mawe na kutengeneza kokoto 2. Machines za kukoboa mpunga 3.machines za kukamua mafuta ya alizeti 4.machines za kuchata chakula Cha n'gombe (sio chaff cutter );
 
1791920093400.png
 
machine ya kufanyia usafi wa nyumba kama zile zinazo postiwa tiktok na wachina
 
Back
Top Bottom