Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

Mkuu., Binafsi nitakuwa nakuita wewe hivi,
Mkuu sana. Je unaonaje Mkuu sana?
Lakini ni wewe tu, kwa wanajamii wengine nitatumia neno Mkuu.
Natumaini umenielewa Mkuu sana.
 
Tuendelee tu kulitumia kwasababu halibagui umri, jinsia, kipato, elimu, n.k.

Ni mchango tu, Wakuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom