Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

100%-fikiria kumuita mtu mkuu halafu umtukane, HAIJI kabisa. Mnaweza kupishana lakini mkajadili kiistarabu. Mkuu umekosea, Mkuu hukunielewa, Hapana Mkuu iko hivi sio Acha urongo ....... etc. Nalipenda sana hasa pale unapotaka kumkosoa mtu.

sawa mkuu nimeelewa
 
Back
Top Bottom