Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,542
brigedia mafia fanya utafiti!!
Yaani ni shida tupu mpaka wanafunzi wanakuwa na msongo wa mawazo na kutofanya vizuri, mara sayansi, mara viwango vya ufaulu, mara wanasitisha ajira yaani nivurugu tu hii nchi, naawanaoathirika zaidi ni watoto wa masikini.
Nimekuelewa na nakubaliana na wewe.Hii akili mbovu kwa hawa watoto ni sisi wenyewe tunawajaza, tunaenda kimazoea kwenye elimu. Tatizo la watoto kutokusoma huanzia chini kabisa kwenye ngazi ya familia, wazazi hawajali, wao wanachojua mtoto kaenda shule basi, mengine yote wanamuachia yeye ku~make decisions, ni vigumu mtoto kujitambua kama hasukumwi, tatizo kubwa pia ni kua wazazi wenyewe wengi hawajasoma hata sekondari hawajafika, wanajiona kama hawana la kuchangia kwa watoto kwa kua watoto wenyewe tayari wanawashinda elimu, hapa sasa ndipo mwalimu anatakiwa aingie kati, afundishe vizuri lakini pia atoe motivation kwa watoto, kama hawaoni value yoyote kwenye elimu na hamna cha kuwasukuma lazima watafeli tu.
Nawakumbuka sana walimu wangu wa Chemistry na Physics Olevel, walikua wanatusukuma kwa nguvu, mwisho wa siku mambo yalivoanza kueleweka wote tulijikuta tunayapenda haya masomo, wengi tulikua tunatoka na A wa mwisho alikua na C, I'm thankful hadi leo hii nimekua mtu wa sayansi moja kwa moja, ningefeli haya masomo nisingekua hapa nilipo. Naamini inawezekana kabisa, ni system iliyopo tu imewaacha wanafunzi na wazazi wajijue kivyao, no direction zaidi ya curriculum tu, hata walimu hawana motisha ya kupiga kazi vizuri, hawaipendi kazi yao, wanaenda darasani ilimradi tu liende.
Wewe umesoma masomo tisa sawa, lakini kumbuka hawa wanaosoma masomo ya biashara wana commerce % bk ina maana wao watasoma masomo 11 alaf wakati huo huo watakao pewa vipaumbele ni wale watakaoendelea na sayansi hivi hauoni kwamba wanafunzi wa biashara watakavyonyanyasika??MAMA NDALICHAKO YUKO SAHIHI 100 %. KWANI TATIZO MNALOLIONA HAPO NI LIPI?
MIMI NIMESOMA MASOMO YOTE TISA(9) O LEVEL, nothing i lost. ADVANCED LEVEL nikasoma mchepuo wa Arts yaani HGE.
namshukuru MUNGU C ya mathematics na Ds za physics, chemistry na biology (biology na chemistry siyo sana) ila applications zake nimezitumia sana mpaka university wakati nasoma bachelor ya ECONOMICS.
Mwenye reason ya kusema tamko hilo ni wrong atueleze.
Wapo walioko vyuoni walikimbilia arts o level leo wanatamani warudi wakasome mathematics na physics tena.
Acheni wasome yote kama mimi atakaye feli masomo ya science kama mimi hata razimishwa kuyasoma advance.
Lakini atakuwa na knowledge kama yangu tofauti na aliyekimbia kabisa kama mnavyowashauri.
Hii jumuiya ya 'Madoa' imeanza lini!? Na sisi Watanzania tupo ndani yake toka lini!? Nijibu tafadhali nahitaji kuelimika kuhusu hayo Madoa.The Boss na katika hii global village tunahitaji watu watakao weza ku communicate effectively kwa Kiingereza tukiwa kama moja ya nchi za jumuiya ya madoa, tunahitaji malawyer wazuri wakuweza kusimimia mikataba ya rasilimali zetu, sasa kama nguvu zote zikitupwa kwenye physics na chemistry huko kwingine tutaendelea kuumizwa.
Asante mkuu.Hii jumuiya ya 'Madoa' imeanza lini!? Na sisi Watanzania tupo ndani yake toka lini!? Nijibu tafadhali nahitaji kuelimika kuhusu hayo Madoa.
Asante mkuu, ninafanya touch typing sasa vidole vikikosea ni kasheshe.
Analinda kibarua maana kaishatumbuliwa mara ya kwanza sasa ivi anafanya kazi kumfuraisha mtawalaNilishasema toka awali kua huyu mama anakurupuka sana watu wakapinga vikali. Mpaka hapa sijaona mwelekeo wa mafanikio kwa uwepo wa huyu mama Wizara ya Elimu. Wizara ya ELIMU sio NECTA, sio taasisi ndogo! Hii wizara ndio moyo wa nchi.
Sijui mwaka huu vyuo vikuu vingapi vitakavyopokea wanafunzi wa fani za Sayansi. Utaratibu wa kizamani sana huu.
Asante kwa kunikosoa, lugha mama yangu huwa tunapata tabu ya matumizi ya sauti za h, r na l. Lakini naamini ujumbe umeupata vizuri mkuu.Unavyoongea km una uhakika vile..halaf ni ufaulu sio ufahulu mkuu..ungekua unajua kuiandika ufaulu vizuri mbona tungekoma[emoji23][emoji23]
Tatizo wapo waliosoma physics ila hata baiskel kujaza upepo hawezi au kuziba pancha, pia nawajua wanafunzi wengi wana degree ya umeme ila hawezi kutandaza nyaya ye anajua theoretically tuBasi mkuu physics uliitupa pembeni au hukuielewa vizuri au unachokifanya ni kuoperate vitu ambavyo ni already made na huna passion ya kubuni kitu chako mwenyewe, we unadhani hizo automation ya hizo machines anayefanya ni nani? ambaye hajasoma physics? tukitaka kuwa na viwanda tusitegemee tutanunua kila product nje, vitu vingine ni custom built lazima tuweze kuvitengeneza sisi wenyewe, we unataka hadi machine ya kupima vitu na kukata twende nje tukanunue huku its very basic physics?
Physics ni muhimu sana, mimi niliisoma na hadi leo hii ninaitumia kwenye kazi zangu mara kibao tu, siku nyingine narudi kuchimba vitabu vya university physics kuangalia principles nikiwa nimezisahau. Kama ni kutengeneza viwanda tunahitaji watu waliosoma physics, huwezi tengeneza engine ya gari bila physics, huwezi tengeneza game la computer, hata kiatu bora cha kuvaa unapima strength ya material, heat absorption na dissipation, hadi vitu basic kama rangi nyeupe inafanya reflection na nyeusi inafanya complete absorption ni concepts nyepesi lakini very important ikija kwenye decisions ya rangi ipi itumike sehemu flani. We idea yako ya viwanda kumbe ni kununua kila kitu nje alafu tukaoperate wenyewe? Hehehe, mimi idea yangu ni kununua vichache nje, alafu vingi tukatengeneza sisi wenyewe.
Duh,kama hili lilikukuta itabidi uwe unaniamkia.Mkuu ilinipata hii eti physics na chemistry ni somo moja🙁🙁
walimu wengi ni wa jiografia na historia sasa hiyo physics atafundisha nani? Tungeanza kwanza kuviambia vyuo vikuu vyetu vidahili walimu wa sayansi zaidi ili uamuzi utakapofanyika pawepo walimu wa kufundisha.Ni ubunifu mpya only in Tz. Hao walimu wa sayansi watatoka wapi? Nchi ina uhaba wa walimu wa hili somo halafu eti somo la sayansi lazima!
Itakuwa imesaidia nini kama wataacha baada ya kidato cha NNE????Nadhani tunaingiza siasa katika mambo ya msingi,?lengo la waziri ni zuri na baada ya muda mrefu litasaidia sana taifa. Changamoto ni nyingi kwa sasa kwa uamuzi huu ila hii sio sababu ya kuchelewesha uamuzi sahihi. Hii ni basic Science hadi kidato cha nne tu, wanafunzi wanaotaka kwenda michepuo ya Biashara au Sanaa watafanya hivyo kidato cha tano.
Anadhani kusoma Physics na Chemistry ndo kuweza kuoperate viwanda!
Kwanza machine za siku hizi siyo manual ni automated computerized.
Nimesoma mimi physics na chemistry lakini sijawahi kuiapply popote!, hata huko viwandani hawaangalii physics umefauluje