Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Bora nyenyere hivi umesoma comments za huyo choice variable

Hapana aise yule mwenyewe simuwezi labda cariha ndiyo anamuweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nisome
 
We soma tu ujionee mwenyewe hivyo vituko wanavyoandika kaka zako. Extrovert naye naona hayuko nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyewaroga hana huruma eti?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Extrovert huwa anaangalia upepo unakoenda,ni mjanja Sana.
 
Cariha would you suggest for a hybrid of thoughts in gender perspective, assuming uko married bcoz I don't know kukuhusu, what best marriage governing modalities would advocate for married couples
Marriage kwanza aina manual guidelines inategemea na nyie wawili mnataka iweje na muendeshe vipi, kuheshimiana iwe both parties huku mkielewa kinachowatofautisha ni hzo bilogical makeups the rest ur equal, love each other, na msikilizane basi
 
Bora nyenyere hivi umesoma comments za huyo choice variable

Hapana aise yule mwenyewe simuwezi labda cariha ndiyo anamuweza
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wanaume vichomi wamemeza maji ya bendera kuzalilisha tu wanawake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyewaroga hana huruma eti?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Extrovert huwa anaangalia upepo unakoenda,ni mjanja Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yeye daily kulaumu wanawake jamani Ina maana yeye ni malaika kwani huwa Hawa kwazi.
 
Kina nyenyere hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] huyo nyenyere sijui nyegere ni kinara wa mada za kuzalilisha wanawake sijui Nani aliwaambia sie hatuwezi Mambo yetu au atuhitaji raha, Mara bikra zetu huku wao Wala raha tu. Wanaume wetu ni janga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyewaroga hana huruma eti?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Extrovert huwa anaangalia upepo unakoenda,ni mjanja Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] huyo nyenyere sijui nyegere ni kinara wa mada za kuzalilisha wanawake sijui Nani aliwaambia sie hatuwezi Mambo yetu au atuhitaji raha, Mara bikra zetu huku wao Wala raha tu. Wanaume wetu ni janga
Huyu huwa hachoki kabisa.
Ukimaliza kumuelekeza anaanza kukuuliza tena maswali ya mwanzo uliyokwisha muelekeza.
Yaani unaweza bishana naye mchana kutwa usiku kucha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa jamani wanawake Mungu katuumbia umivilivu imagine kuwa na mwanaume anayefikiria hivo SI mda wote mtabishana bila ya kufikiria maendeleo. Mungu awasaidie wanawake wanaoishi na wanaume wenye Mambo ya hovyo.
 
Huyu huwa hachoki kabisa.
Ukimaliza kumuelekeza anaanza kukuuliza tena maswali ya mwanzo uliyokwisha muelekeza.
Yaani unaweza bishana naye mchana kutwa usiku kucha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaa
 
Mimi niliona Sasa ban inakuja maana duh
Achana nao mama usije ukapigwa ban. Pia it will help you save your time and energy.

Hao huwa hawakubali kushindwa mbele ya wanawake. Labda dunia ibadili mzunguko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaa
Ujue Bora lizarazu huwa anachoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mkibishana ni kama mnaizunguka dunia..mnazunguka na kuzunguka hampati mwisho,mnarudi mlipoanzia.
 
Ujue Bora lizarazu huwa anachoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mkibishana ni kama mnaizunguka dunia..mnazunguka na kuzunguka hampati mwisho,mnarudi mlipoanzia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kazi kweli kweli
 
Hivi ni kwamba mnashindwa kuelewa au mnajitoa ufahamu tu? Hakuna aliyesema tunataka wanawake waanze kuwatawala wanaume hebu muelewe kwanza hilo!

Tunachosema ni kuwa mwanaume anapomtawala mwanamke asitumie hiyo nafasi yake kumnyanyasa mwanamke mfano kumpiga au kumsaliti! Na pia isiwe kitu akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa man is that too much to ask for?
Nani anakunyanyasa? wewe boss wako kazini anapokuamulia na kukuagiza au kutokubaliana na jambo lako anakuwa anakunyanyasa?
Haiwezi kuwa sawa kwa mwanamke maana kuna aliyeolewa na aliyeoa,kuna kiongozi na msaidizi na kuna mwenye kauli ya mwisho na ambae anategemea vetting ya usahihi wa kauli yake.The boss is always right kumbuka hilo
 
Hiyo siyo hoja yangu wala hakuna aliyesema anataka mashoga! Hoja yangu ni kuwa kama mtu kutumia kiungo chake cha chini kupata pesa mnatumia kama ndiyo kigezo cha udhaifu kwahiyo tuseme na wanaume nao ni dhaifu?

Pengine utasema wanaume siyo wote haya kwani aliyekuambia na wanawake ni wote nani? Mbona wapo wanawake wengi tu hapa duniani wanapambana na wanatusua bila kudanga na kwa hao nao mnasemaje!
kumbuka hii itakusaidia..no 50/50 kwenye ndoa hata huko walikoanzia hakuna hiyo kitu kwa sababu ni nature
 
Back
Top Bottom