Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Kwa wote mwanaume na mwanamke right ??Haki zinaenda baada ya kutimiza wajibu,pili kwenye ndoa hakuna uhuru usio na mipaka,hivyo yaani
Kwa wote mwanaume na mwanamke right ??Haki zinaenda baada ya kutimiza wajibu,pili kwenye ndoa hakuna uhuru usio na mipaka,hivyo yaani
Huko ni kutokujiamini ni Nani alisema mwanaume awe juu na mwingine chini bila kuheshimiana hyo haipo eti mwanaume awe juu hata Kama anafanya utopolo, lazima mubadilike ndoa nikusikilizana na kushauriana, Sasa nyie wanaume mnataka muonee wanawake eti ili ndoa idumu kwanini nyie msiwe sehemu hyo mnatolea wababu mfano wakati walikuwa wajinga tu .
Ili ndoa idumu lazima mpendane, mhurumiane mheshimiane, msikilizane hyo ya kuwa juu ni Chaka letu wanaume kuendekeza ukandamizaji tu kwa wanawake
At last tupo kwenye same page ! Now we r even!Hivi ni kwamba mnashindwa kuelewa au mnajitoa ufahamu tu? Hakuna aliyesema tunataka wanawake waanze kuwatawala wanaume hebu muelewe kwanza hilo!
Tunachosema ni kuwa mwanaume anapomtawala mwanamke asitumie hiyo nafasi yake kumnyanyasa mwanamke mfano kumpiga au kumsaliti! Na pia isiwe kitu akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa man is that too much to ask for?
Ulikuwepo wakati Mungu anawapa cheo au ni story za abunuwasi ulizomezeshwa na wahenga, ndio mtuache jiongoze tunavotakaNaendelea kutafiti msingi wa Mungu kutufanya sisi wanaume tupewe cheo cha kuwaongoza nyie wanawake, majibu ya awali ni kuwa mwanamke ana hulka ya kutaka kutawala muda wote hivyo ilikuwa ni lazima kupewa mdhibiti wake, muache mke awe huru kupitiliza Kama hata ona mwituni ndio mbinguni
Acha kutumia vitabu vya dini kufanya justification za kipumbavu Mara juu, Mara Kati Mara kichwa, mbona kila kiumbe kina kichwa. Msitumie vitabu kuhalalisha upuuzi na ukandamizaji wenu, wakati inajulikana kabisa.
Eti lazima niwe wa mwisho kwa wanaume Hawa Hawa wasiofikiria kesho mhhhhh.
Sipendi ntu kuingiza dini kuhalilisha utopolo Mimi na ukondoo flani.
Umri wangu Sasa hivi 53 are you happy now.Naamini wewe,
1.Utakuwa umri umeenda na hujaolewa
2.Umetendwa kwenye mahusiano kutokana na tabia zako
3.Hauna mahusiano yenye future
4.Umepoteza matumaini kuhusu ndoa
5.Umelelewa na mzazi mmoja hasa mama
Inategemea mahusiano yenu yameanzaje,kwa utafiti mdogo niliofanya ndoa nyingi ambazo kipindi cha uchumba/kujuana ni kifupi ndoa hizi huwa na hiyo changamoto sana ukilinganisha na wanandoa ambazo zimeanzia urafiki/uchumba ulikuwa wa mda mrefu(4-5 yrs) kumuacha au kumchoka mwenzako siyo rahisi kwa kuwa ameshakuwa sehemu ya maisha yako.Habari wanajamvini, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu.
Embu twende moja kwa moja kwenye hoja, hivi wewe kama mume ndani ya nyumba yako, pindi mwenzako anapofanya tukio la kukukera, linaweza kuwa kubwa sana au la kawaida, lakini ikabaki kuwa amekwazika sana na alichofanya. Je, huwa unatumia njia gani kutatua?
Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa kila ndoa ina changamoto yake, kitendo cha kukaa au kuishi nyumba moja na mke kwa muda mrefu, huleta hali fln hv ya kuchokana au kuonana wa kawaida, na hadi kuepelekea wanawake wengine kutotimiza majukumu yao ya ki ndoa na kimahusiano Kama ilivyokuwa awali. Ni ngumu sana kuwa na muendelezo wa mapenzi au uhusiano imara kwa wana ndoa kwa muda mrefu, hata kama kuna vitu mtakuwa mnavifanya ili kurutubisha mapenzi au ndoa yenu, bado kuna mmj wenu au wote atakuwa mnafiki, na hupelekea kusababisha kutokea kwa makosa kadhaa kwenye ndoa au mahusiano.
Mfano wa makosa hayo yanaweza kutokea Ni Kama dharau toka kwa mke, kuchepuka, kutokuthamini mume ( mke hafanyi tena mmb kwa ajili ya mume), kujibishana na mume, n.k, hali zote hizi husababisha hasira isiyoelezeka, ikifikia hatua hii ndipo kila mwanaume huwa na njia yake ya ku "deal" na changamoto hy.
SWALI:
Wewe huwa unafanyaje kati ya haya?
Unampiga mwanamke kutuliza hasira na hujishughulishi ku sort tatizo?
Unakaa chini na kujadiliana nae?
Unauchuna tu?
Unamfukuza arudi kwao?
Unalipa kisasi?
Unatafuta watu wa kuwasuluhisha, Kama wazazi, mshenga, viongozi wa dini, Wana familia n.k?
Je, unaamini katika kupiga mwanamke ndy suluhisho au ndy kuongeza petrol ktk moto? Kama hupigi nini huwa unafanya ku prove ur point?
Embu funguka .
Ulikuwepo wakati Mungu anawapa cheo au ni story za abunuwasi ulizomezeshwa na wahenga, ndio mtuache jiongoze tunavotaka
Umri wangu Sasa hivi 53 are you happy now.
Na kweli nimetendwa na wanaume wire duniani including ur daddy.
Mahusiano yangu na vision ni kubwa kuliko kutegemea furaha ya mtu hata baba yangu mzazi sitegemei yeye anipe furaha sembuse watu liokutans nao wajinga wajinga hivi.
Umemaliza hayo maswali jibu hoja Sasa za msingi maana hapo huna jipya and don't forget I'm single mother...
Hafu unachekesha wewe uliyelelewa na wazazi wote mbona mjinga hivi akilini I'm sure huna hata feza ya kununulia bia wanaume pangu pakavu ni vinara wakutesa wanawake vile Wana stress za kukosa hela
Naamini wewe,
1.Utakuwa umri umeenda na hujaolewa
2.Umetendwa kwenye mahusiano kutokana na tabia zako
3.Hauna mahusiano yenye future
4.Umepoteza matumaini kuhusu ndoa
5.Umelelewa na mzazi mmoja hasa mama
Umri wangu Sasa hivi 53 are you happy now.
Na kweli nimetendwa na wanaume wire duniani including ur daddy.
Mahusiano yangu na vision ni kubwa kuliko kutegemea furaha ya mtu hata baba yangu mzazi sitegemei yeye anipe furaha sembuse watu liokutans nao wajinga wajinga hivi.
Umemaliza hayo maswali jibu hoja Sasa za msingi maana hapo huna jipya and don't forget I'm single mother...
Hafu unachekesha wewe uliyelelewa na wazazi wote mbona mjinga hivi akilini I'm sure huna hata feza ya kununulia bia wanaume pangu pakavu ni vinara wakutesa wanawake vile Wana stress za kukosa hela
We mi nilishaanza kukuelewa tangu mwanzo ulianza vizuri ila hapo kati kuna wanaume wenzio wakaja wakakuchanganya wakakutoa nje ya reli ukawa haueleweki unachosimamiaAt last tupo kwenye same page ! Now we r even!
Kina nyenyere haoWe mi nilishaanza kukuelewa tangu mwanzo ulianza vizuri ila hapo kati kuna wanaume wenzio wakaja wakakuchanganya wakakutoa nje ya reli ukawa haueleweki unachosimamia




Kuna comments humu nabaki tu hiiiiiiiiiiiiiiiiii!!











Huyo jamaa yako ndiyo kabisa sijataka hata kumquote kwenye huu uzi, maana nahisi comments saa hii zingekuwa mara kumi ya hizi zilizopo.Kina nyenyere hao![]()




Mimi nilisoma huu Uzi usiku wa manane
Imagine hali niliyokuwa nayo![]()




Sasa yule Ndiye amemtoa huyu nje ya reliHuyo jamaa yako ndiyo kabisa sijataka hata kumquote kwenye huu uzi, maana nahisi comments saa hii zingekuwa mara kumi ya hizi zilizopo.
Teh we kama unataka mtanange naye then he's all yours![]()




yaani hachoki yule










Bora nyenyere hivi umesoma comments za huyo choice variableSasa yule Ndiye amemtoa huyu nje ya reli
Yule Sina ushujaa wa kubishana nayeyaani hachoki yule
Yule unamuweza wewe na Huyo dada Cariha![]()